Leo ndio Leo 🔥 ndani ya Mkoa wa Morogoro Wadau na wapenzi wa Soka Watashuhudia Burudani safi ya mpira wa Miguu katika Dimba la Jamhuri 🏟.. Ni Mchezo wa Hisani WAPE TABASAMU 2023 kati ya TEAM KIBWANA SHOMARI Vs TEAM DICKSON JOB ⏰ Kuanzia Saa 08:00 Mchana JE, Unadhani nani ataibuka Mbabe 😊⁉️ Endelea Kuwa karibu na Mpenja Tv kwa Updates Zaidi.
⚽️ Dundalk 🆚 Shamrock Rovers 🤔Ligi ya IRELAND inazidi kurindima kila timu inahitaji alama za ushindi, Je nani atatoboa hapa kwenye mtanange huu❓ 📱Beti mechi kali hii na uweze kutusua mkwanja MREFU #SportPesaUshindiMwingi
Gor Mahia have won 19 matches, drawn 10, and lost four, while Nairobi City Stars has won 17, drawn nine, and lost six , sasa si mshajua nani atakuwa winner ? #SportPesaNaGor
Entertaining as usual, Jay-Jay Okocha scored a goal with his signature stepover and a neat finish. 'The Beautiful Game' is an all-star game organized for charity. Other participants included Vini Jr, Ronaldinho, Roberto Carlos, Paulo Dybala, Willian, Lucas Moura, Diego Ribas, Cafu, Rivaldo, Rafa Marquez, Aldair, Nani, Eder Militao, Juan Sebastian Veron, Javier Mascherano, Carlos Valderrama, Rene Higuita, Dida, Khaby Lame and more
Mashujaa wa Lake Tanganyika wanasema wanaitaka Ligi Kuu ya NBC msimu ujao wakati Mbeya City wakisema wanataka kusalia ndani ya Ligi Kuu … Nani atatimiza malengo yake? Tukutane saa 9:00 alasiri hapa 107.3 UFM Redio na YouTube channel ya UFMRADIOTZ. #UFMUpdates
Karibu katika #ASUBUHIHII ya #TBCTAIFA ikiwa ni #MICHEZONABURUDANI leo - Mchezaji yupi unadhani hakupaswa kupigwa "Thank You" Mbeya City Vs Mashujaa nani kuibuka Mbabe - Karibu sana