#namungofc #azamtv #yangatv #yangasc #cloudsmedia #simba #sports #hajimanara #millardayo #diamondplatinumz #mpenjatv #yanga #wasafimedia #htmnews #mpenjatv #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022
#azamtv #namungofc #yangasc #yangatv #simbasc #simba #sports #hajimanara #diamondplatinumz #millardayo #mpenjatv #yanga #wasafimedia #htmnews #cloudsmedia #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi..ccc..2022
Leo April 23 2022 Mpenja Tv tupo Uwanja wa Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC Kati ya Yanga na Namungo Fc ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa moja kamili usiku. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii . . #yangasc #namungofc #mpenjatv
Kwa mara ya kwanza kwenye ligi kuu, Yanga imepata ushindi dhidi ya Namungo FC ikiitandika mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga ndiyo waliotangulia kwa goli la Fiston Mayele kabla ya Shiza Kichuya kuchomoa dakika ya 33, lakini Feisal Salum akaiongezea Yanga bao dakika ya 39 na mechi kumalizika kwa ushindi wa kwanza tangu Namungo ipande daraja msimu wa 2019/20.

#yangasc #magoliyayanga #namungofc #hengetv
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Hassan Bumbuli Amezungumza Namna Kikosi kinavyojiandaa Kumenyana na Namungo FC, Kwenye Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, Utakaochezwa Jumamosi ya Tarehe 23/4/2022,Uwanja wa Benjamin Mkapa. #MpenjaTv #YangaSc #NamungoFc #HassanMbumbuli