KOCHA MTIBWA “ALAMA MOJA UGENINI SIO MBAYA/ KUKOSEKANA ILANFYA IMETUGHARIMU”….
KOCHA MTIBWA “ALAMA MOJA UGENINI SIO MBAYA/ KUKOSEKANA ILANFYA IMETUGHARIMU”….

Tazama hapa mahojiano na Kocha wa Ruvu Shooting Mbwana Mkata pamoja Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar Awadh Juma na ...

MAÇ ÖZETİ: Fenerbahçe 4-0 KF Tirana
MAÇ ÖZETİ: Fenerbahçe 4-0 KF Tirana

Fenerbahçemiz yeni sezon hazırlık karşılaşmasında KF Tirana'yı Mergim Berisha, Filip Novak, Dimitris Pelkas ve Mbwana ...

Team Samatta 3-3 Team Kiba (Pen 2-4) | Magoli, Penati & Kombe | Nifuate 18/06/2022
Team Samatta 3-3 Team Kiba (Pen 2-4) | Magoli, Penati & Kombe | Nifuate 18/06/2022

SAMAKIBA 2022: Team Kiba iliyo chini ya msanii Alikiba imebeba Kombe la Nifuate 2022 kwa kuichapa Team Samatta iliyo chini ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia sare ya mabao 3-3. Katika muda wa kawaida, magoli ya Team Kiba yamefungwa na Saimon Msuva aliyefunga mawili pamoja na Alikiba mwenyewe kwa penati huku magoli ya Team Samatta ayakifungwa na Kelvin John, Mbwana Samatta na Idd Gamba kwa penati. Mechi hii ni tamasha maalum la hisani kwa ajili ya kurejesha jamii ambalo hufanyika kila mwaka chini ya taasisi ya Samakiba Foundation, na mwaka huu limefanyika kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, na kushuhudia Team Kiba wakibeba ndoo.

#BREAKING: KOCHA WA MBEYA KWANZA NA MENEJA WAFUNGIWA MIAKA 5, NAMUNGO APEWA POINTI 3 ZOTE..
#BREAKING: KOCHA WA MBEYA KWANZA NA MENEJA WAFUNGIWA MIAKA 5, NAMUNGO APEWA POINTI 3 ZOTE..

#BREAKING: KOCHA WA MBEYA KWANZA NA MENEJA WAFUNGIWA MIAKA 5, NAMUNGO APEWA POINTI 3 ZOTE.. Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja kwa kosa la kushawishi na kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo Tukio lililosababisha mchezo usifanyike na kuchafua taswira ya Ligi. Kamati ya masaa 72 imempa Namungo alama tatu na mabao matatu, baada ya kujiridhisha kuwa Mbeya Kwanza waligomea mchezo huo licha ya taratibu kuwa sawa dakika ya 23 ikiwa ni dakika saba kabla ya kutimu nusu saa. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Highlights | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022
Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Highlights | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imeitandika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Novatus Dismas dakika ya 10, Mbwana Samatta dakika ya 63 na George Mpole dakika ya 90 huku CAR wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati dakika ya 66.

Magoli | Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Royal Antwerp FC - KAS Eupen | GOAL 1-0 Ally Mbwana Samatta | 2021-2022
Royal Antwerp FC - KAS Eupen | GOAL 1-0 Ally Mbwana Samatta | 2021-2022

Volg alles van Royal Antwerp F.C. via: * De enige echte RAFC-app: http://bit.ly/RAFC-app * Facebook: https://www.facebook.com/RoyalAntwerpFC/ * Twitter: https://twitter.com/official_rafc * Instagram: https://www.instagram.com/royal_antwerp_fc/ * Linkedin: https://www.linkedin.com/company/royal-antwerp-fc/ * Website: https://royalantwerpfc.be/

« Previous Next »

Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Chicago Bulls  #Manuel Neuer  #Cristiano Ronaldo  #Paul George  #Mesut Ozil  #Gareth Bale  #Neymar  #Boston Celtics  #Paul Pogba  

Popular Users

#kevinlove  #incarceratedbob  #TheEllenShow  #SimplyAJ10  #fauxpelini  #mcuban  #RobbieSavage8  #TheCUTCH22  #SHAQ  #BringerOfRain20  #BadgerMBB  #BBCBreaking  #RyanBabel  #obj  #TimTebow