Sikiliza alichokizungumza aliyekuwa CEO wa Simba SC, Crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi (Mo Dewji) kuhusu sababu za kiufundi zilizopelekea ushindi wa Simba ugenini dhidi ya Plateau United. #Simba #SimbaSC #PlateauSimba #PlateauUnited #ufmradio Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Klabu ya soka ya Simba inapata ushindi dhidi ya timu ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Ya Vodacom Tanzania Bara mwaka 2020 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 57 na Ibrahim Ajibu Migomba dakika ya 90+5 huku goli ya Timu ya Polisi Tanzania likifungwa na Basoli kunako dakika ya 23. Katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara Mabingwa wa ligi Kuu Tanzania bara Klabu ya soka ya Simba Sc inazidi kuongoza ikiwa nafasi ya kwanza katika Vodacom Premier League. MAGOLI YOTE SIMBA SC 2-1 POLISI TANZANIA #Simbascvspolisitanzania #GrobalTV, #Muugwanatv, #AzamTV, #Simba2vspolisiTanzania1, #GorilaajibuleovspolisiTanzania, #SimbascvspolisiTanzania(2-1)angaliaMAGORIhapa, #SIMBASC2VS1POLISITANZANIATAZAMA|MAGORIYOTESIMBAVSPOLISITANZANIALEO, #SimbascvspolisiTanzaniahighlightsandgoals, #Simbasc, #MAGORI, #LIVE, #MAGOLIYOTE:SIMBASC2-1POLISITANZANIA, #Simba, #Sc, #2-1, #Polisi, #Tanzania, #Simbasc2-1polisitanzania, #LIVE, #MAGOLIYOTE:SIMBASC2-1POLISITANZANIA, #GrobalTV, #Muugwanatv, #AzamTV, #Simba2vspolisiTanzania1, #GorilaajibuleovspolisiTanzania,#SimbascvspolisiTanzania(2-1)angaliaMAGORIhapa,#SIMBASC2VS1POLISITANZANIATAZAMA|MAGORIYOTESIMBAVSPOLISITANZANIALEO,#SimbascvspolisiTanzaniahighlightsandgoals,#Simbasc,#MAGORI
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Droo ya CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa Jumatano Machi 20, 2019 nchini Misri na wawakilishi pekee wa Tanzania, Wekundu wa Msimbazi Simba watacheza na TP Mazembe katika hatua hiyo na wataanzia nyumbani. #SimbaSC imefuzu robo fainali ikitokea Kundi D pamoja na Al Ahly iliyopangiwa kucheza na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika hatua hiyo na kuziacha AS Vita ya Congo na JS Saoura ambazo zitabaki kuwa watazamaji. Wekundu hao wataanzia nyumbani mchezo utakaopigwa kati ya Aprili 5-6, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na mechi ya marudiano itapigwa Lubumbashi, Congo kati ya Aprili 12-13. Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya wawakilishi wa Simba, Mtendaji Mkuu, Crescentus Magori na Mwenyekiti Swedi Nkwabi na ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki pamoja na wadau wa soka Afrika kwa jumla. Simba inacheza na #TPMazembe ambayo walikutana nayo kwa mara ya mwisho mwaka 2012 katika mashindano hayo. Katika mchezo huo, Simba walifungwa lakini walipata nafasi ya kusonga mbele baada ya TP Mazembe kukutwa na makosa ya kumchezesha mchezaji asiye na sifa. Ratiba kamili CS Constantine ya Algeria VS Esperance de Tunis ya Tunisia Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini VS Al Ahly ya Misri Horoya ya Guinea VS Wydady Casablanca ya Morocco Simba ya Tanzania VS TP Mazembe ya Congo Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Ni mahojiano maalum na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC Crescentius Magori mara baada ya timu hiyo kuwasili katika mji wa Bechar nchini Algeria kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura. Mahojiano haya yamefanyika jana Machi 8, 2019 na mchezo ni leo Machi 9, 2019.
Msafara wa timu ya Simba umewasili salama nchini Algeria Jumatano Machi 6, tayari kwaajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura ya nchini humo. Mara baaa ya kuwasili katika mji wa Algers, kikosi hicho kimefanya mazoezi mepesi katika Uwanja wa Ben Siam ambao ni uwanja wa mazozi wa timu ya ligi kuu ya Algeria ya 'NA Hussein-Dey' kabla ya kuifuata Saoura katika mchezo utakaopigwa Jumamosi, Machi 9. 2019. Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Crescentius Magori pamoja na Naohodha John Bocco wameeleza mikakati ya timu hiyo huku Balozi wa Tanzania Yusuph Omar Mzee akitoa tahadhari na mkuu wa msafara Ahmed Mgoyi ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF akazungumzia ushirikiano kutoka TFF kuhakikisha Simba imafanikiwa kwenye michuano
Simba SC wapo ugenini Kinshasa kuonyesha ufundi dhidi ya AS Vita ambao katika mechi ya kwanza walifungwa 2-0 na Al Ahly ya Misri. Simba walishinda mechi yao ya kwanza kwa kuifunga JS Saoura ya Algeria goli tatu 3-0 jijini Dar Es Salaam. Tanzania's Simba SC are in Kinshasa ahead of their CAF Champions League group D tie against hosts AS Vita on Saturday. Simba SC beat JS Saoura of Algeria 3-0 in their first group match in Dar Es Salaam, while AS Vita were beaten 2-0 by Al Ahly away in Alexandria, Egypt last week.