Ni mahojiano maalum na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC Crescentius Magori mara baada ya timu hiyo kuwasili katika mji wa Bechar nchini Algeria kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura. Mahojiano haya yamefanyika jana Machi 8, 2019 na mchezo ni leo Machi 9, 2019.