Kocha Coastal Union: Marefa Siwezi Kuzungumzia, Tumefungwa
Kocha Coastal Union: Marefa Siwezi Kuzungumzia, Tumefungwa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Sasa Simba iliyo chini ya kocha Mbelgiji, Sven Ludwig Vandonbroeck anayesaidiwa na mzalendo, Suleiman Matola inafikisha pointi 47 katika mchezo wa 18 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 11 zaidi ya Azam FC wanaofuatia katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 36 za mechi 17. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Kocha MATOLA Ataja MAPUNGUFU ya TAIFA STARS, Athibitisha "LIBYA ATAKUFA"
Kocha MATOLA Ataja MAPUNGUFU ya TAIFA STARS, Athibitisha "LIBYA ATAKUFA"

Kocha MATOLA Ataja MAPUNGUFU ya TAIFA STARS, Athibitisha "LIBYA ATAKUFA" TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea usiku wa Kuamkia leo November 16 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Haukuwa ushindi mwepesi, kwani hadi mapumziko, tayari Equatorial Guinea walikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji wa Sassuolo ya Italia, Pedro Mba Obiang dakika ya 15 akimtungua kipa mkongwe wa Tanzania, Juma Kaseja kwa shuti la mbali. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Mabao yote ya Tanzania yalifungwa kipindi cha pili, ambapo bao la kwanza liliwekwa kimiani na Simon Msuva, na pili likifungwa dakika za nyongeza na Salum Aboubakary (SURE BOY), YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li



Chama,Kagere watupia Simba yaichakaza Lipuli Samora,Matola apiga salute, Yanga Mdomoni mwa Alliance
Chama,Kagere watupia Simba yaichakaza Lipuli Samora,Matola apiga salute, Yanga Mdomoni mwa Alliance

Chama, Kagere watupia Simba yaichakaza Lipuli Samora ,Matola apiga salute, Yanga Mdomoni mwa Alliance



MATOLA HATAKI UTANI, AAHIDI KUIFUNGA SIMBA,SIMBA WASEMA HAMNA NAMNA LAZIMA TUTOKE TU KWA LIPULI LEO
MATOLA HATAKI UTANI, AAHIDI KUIFUNGA SIMBA,SIMBA WASEMA HAMNA NAMNA LAZIMA TUTOKE TU KWA LIPULI LEO

MATOLA HATAKI UTANI, AAHIDI KUIFUNGA SIMBA,  SIMBA WASEMA HAMNA NAMNA LAZIMA TUTOKE TU KWA LIPULI LEO



Lipuli Yazitunishia  Misuli SIMBA na Yanga/ Ishu Ya Sonso Na Matola
Lipuli Yazitunishia Misuli SIMBA na Yanga/ Ishu Ya Sonso Na Matola

Lipuli Yazitunishia Misuli SIMBA na Yanga/ Ishu Ya Sonso Na Matola Meneja wa klabu ya lipuli Julius Leo amesema kocha wao Matola hataondoka klabuni hapo na bado ana mkataba na klabu hiyo yenye maskani yake mkoani Iringa. Awali ziliibuka taarifa kuwa klabu ya Simba inamwitaji Matola kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo ili kuchukua nafasi ilioachwa wazi na aliekuwa kocha msaidizi Masoud Djuma Julius pia amesema hawajapokea taarifa yoyote kutoka klabu ya Yanga ya kutaka kumsajili mchezaji wao Ally Sonso Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...



SIMBA SC 0-0 LIPULI FC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (23/11/2018)
SIMBA SC 0-0 LIPULI FC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (23/11/2018)

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara imeendelea leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mabingwa watetezi Simba wamelazimishwa suluhu na Lipuli FC kutoka mkoani Iringa. Mchezo huo uliokuwa mkali na wenye ushindani, ulitawaliwa na kosakosa kila upande ambapo Simba walipoteza nafasi zaidi ya nne kupitia kwa mshambuliaji wao John Bocco, huku Lipuli walipoteza nafasi takriban tatu walizopata kutokana na makossa ya beki wa Simba Paul Bukaba. Makosa ya beki huyo yalimlazimu kocha wa Simba kufanya mabadiliko kwa kumtoa na nafasi yake kuchukuliwa na James Kotei dakika ya 38 ya mchezo. Kunako dakika za nyongeza, Meddie Kagere alikuwa ameshatikisa nyavu za Wanapaluhengo Lipuli FC lakini kwa mujibu wa mwamuzi wa pembeni, ilikuwa ni 'off-side' hali iliyoonekana kuzua malalamiko kwa upande wa Simba. Mara baada ya mchezo Nahodha wa Simba John Bocco amesema kilichowakosesha ushindi ni kukosa bahati, huku Nahodha wa Lipuli Ally Mtoni akisema kuna mbinu ambazo wao huzitumia kila wanapokutana na timu kubwa ili kupata pointi. Matokeo hayo ambayo ni mwendelezo wa rekodi ya Kocha wa Lipuli Selemani Matola kutofungwa na Simba yameiacha Simba ibaki katika nafasi ya tatu ikiwa na alama 27 baada ya kucheza mechi 12.



Malalamiko ya Kocha wa Simba Baada ya Sare na Lipuli FC
Malalamiko ya Kocha wa Simba Baada ya Sare na Lipuli FC

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa sare hiyo, mabingwa hao watetezi wanajiongezea pointi moja na kufikisha 27 baada ya kucheza mechi 12, wakiendelea kushika nafasi ya tatu nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 29 za mechi 11 na vinara, Azam FC wenye pointi 33 za mechi 13. Kwa Lipuli FC inayofundishwa na Nahodha wa zamani wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola sare ya leo inawafanya wafikishe pointi 13 katika mechi ya 14, wakiwa bado katika eneo la hatari la kushuka daraja, nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu ya timu 20. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars Google + : https://plus.google.com/u/0/b/114092644404095947399/




« Previous Next »


Popular Tags

#Kobe Bryant  #New York Knicks  #Stephen Curry  #Best Goals  #Shaquille O'Neal  #Derrick Rose  #Goalkeeper Saves  #Ronaldinho  #Cleveland Cavaliers  #Neymar  

Popular Users

#YouTube  #DanicaPatrick  #akshaykumar  #sydneyleroux  #Buccigross  #floydmayweather  #CNN  #MieshaTate  #katzm  #MileyCyrus  #JohnCena  #SHAQ  #Kaepernick7  #NASA  #TheChristinaKim