Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Sasa Simba iliyo chini ya kocha Mbelgiji, Sven Ludwig Vandonbroeck anayesaidiwa na mzalendo, Suleiman Matola inafikisha pointi 47 katika mchezo wa 18 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 11 zaidi ya Azam FC wanaofuatia katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 36 za mechi 17. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars