Content removal request!


KOCHA MATOLA Afunguka SIMBA na YANGA Kukutana TENA - "LAZIMA Tuchukue UBINGWA"

KOCHA MATOLA Afunguka SIMBA na YANGA Kukutana TENA - "LAZIMA Tuchukue UBINGWA" ILE derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga, inatarajiwa kurudiwa tena visiwani Zanzibar kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi, baada ya wote wawili kutinga fainali kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa, Yanga akamtoa Azam FC, na Simba akamtoa Namungo FC.... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kutinga fainali ya Kombe hilo baada ya kumtungua Namungo mabao ( 2 - 1) na hivyo anakwenda kukutana na Yanga SC kwenye fainali itakayochezwa Januari 13, 2021.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline