Goli pekee la mkwaju wa penati dakika za nyongeza limeipa Simba alama tatu muhimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. Mfungaji wa goli ni Jean Charles Ahoua....
KIKOSI CHA #SIMBAVSJKT TANZANIA|#KICHUYA ,#MIQUISSONE WAMEANZA LEO.