Content removal request!


Bao la pekee la Emmanuel Okwi, Simba ikiichapa Mtibwa Sugar 1-0 (VPL 09/04/2018)

Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ameifungia timu yake bao pekee dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara ukipigwa katika dimba la Jamhuri, Morogoro.