"NIPENI Huyu M SOUTH, ITAKUWA Ndio MWISHO Wake KUJA TANZANIA, KIDUKU Sio BONDIA wa TAIFA" - MWAKINYO
"NIPENI Huyu M SOUTH, ITAKUWA Ndio MWISHO Wake KUJA TANZANIA, KIDUKU Sio BONDIA wa TAIFA" - MWAKINYO

"NIPENI Huyu M SOUTH, ITAKUWA Ndio MWISHO Wake KUJA TANZANIA, KIDUKU Sio BONDIA wa TAIFA" - MWAKINYO BONDIA Hassan Mwakinyo amesema yupo tayari kucheza na Msouth Assemahle Wellem ambaye kwa hapa Tanzania amempiga Twaha Kiduku na kupata droo kwa Seleman Kidunda.



VITASA | Ibrahim Class ampiga Israel Kammwamba TKO raundi ya pili Mkwakwani Tanga 27/01/2024
VITASA | Ibrahim Class ampiga Israel Kammwamba TKO raundi ya pili Mkwakwani Tanga 27/01/2024

IBRAHIM CLASS v ISRAEL KAMMWAMBA: Tazama shughuli ilivyomalizika mapema tu raundi ya pili….Ibra Class Mawe akiibuka na ushindi wa TKO baada ya mpinzani wake Israel Kammwamba kutoka Malawi 'kurusha taulo' Tangaaaaaa....! #KaaKwaKutulia Na hili ndilo lilikuwa pambano kuu usiku huu, katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga katika Usiku wa Vitasa Nyumbani ni Nyumbani. #KaaKwaKutulia #NyumbaniNiNyumbani #VitasaTanga



🔴#Live: TWAHA KIDUKU vs SEBYALA, KINACHOENDELEA KWENYE RED CARPERT NA UKUMBINI, USIKU WA MABINGWA...
🔴#Live: TWAHA KIDUKU vs SEBYALA, KINACHOENDELEA KWENYE RED CARPERT NA UKUMBINI, USIKU WA MABINGWA...

🔴#Live: TWAHA KIDUKU vs SEBYALA, KINACHOENDELEA KWENYE RED CARPERT NA UKUMBINI, USIKU WA MABINGWA... KARIBU Utazame matukio yote yanayoendelea kwenye pambano la 'USIKU WA MABINGWA' katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar ambapo Main Fight ni Mtanzania Twaha Kiduku akivaana na Mganda Mohamed Sebyala.



#EXCLUSIVE: SALIM MTANGO AMUOMBA MSAMAHA MWAKINYO - "HANA HELA, SIJUI HATA TUNAGOMBEA NINI"
#EXCLUSIVE: SALIM MTANGO AMUOMBA MSAMAHA MWAKINYO - "HANA HELA, SIJUI HATA TUNAGOMBEA NINI"

#EXCLUSIVE: SALIM MTANGO AMUOMBA MSAMAHA MWAKINYO - "HANA HELA, SIJUI HATA TUNAGOMBEA NINI" BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na bondia Salim Mtango kuhusiana na maisha yake ya ngumi na ugomvi wake na Hassan Mwakinyo.



MWAKINYO KUPELEKWA MAHAKAMANI, PROMOTA AMUUMBUA kwa HASIRA - "WAMENYANG'ANYANA MWANAMKE Huko TANGA"
MWAKINYO KUPELEKWA MAHAKAMANI, PROMOTA AMUUMBUA kwa HASIRA - "WAMENYANG'ANYANA MWANAMKE Huko TANGA"

MWAKINYO KUPELEKWA MAHAKAMANI, PROMOTA AMUUMBUA kwa HASIRA - "WAMENYANG'ANYANA MWANAMKE Huko TANGA" BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na Promota Karigo aliyeandaa usiku wa 'LEVELS' uliowashusha ulingoni mabondia kutoka Tanzania na wachache kutoka nje ya Tanzania.



OHO0O! DULLA MBABE AMVURUGA MWAKINYO, AFICHUA ALICHOMWAMBIA TWAHA KIDUKU BAADA ya KUPOTEZA PAMBANO..
OHO0O! DULLA MBABE AMVURUGA MWAKINYO, AFICHUA ALICHOMWAMBIA TWAHA KIDUKU BAADA ya KUPOTEZA PAMBANO..

OHO0O! DULLA MBABE AMVURUGA MWAKINYO, AFICHUA ALICHOMWAMBIA TWAHA KIDUKU BAADA ya KUPOTEZA PAMBANO.. BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na bondia Dulla Mbabe kuhusiana na pambano lake atakalocheza visiwani Zanzibar Agosti 27, 2023.



VITASA | Ibrahim Class vs Said Chino | KAZI IPO 27/05/2023
VITASA | Ibrahim Class vs Said Chino | KAZI IPO 27/05/2023

VITASA NIGHT: Hii ndiyo ilikuwa #mainCard katika Usiku wa Vitasa, Kazi Ipo ndani ya Where House, Masaki, Dar es Salaam, ikishuhudia Ibrahim Class akipata ushindi wa pointi dhidi ya ya rafiki yake wa utotoni, Said Chino. Tazama pambano lote kama ilivyokuwa na utoe maoni yako... #KaziIpo #Vitasa #IbraClass #SaidChino #VitasaNight




« Previous


Popular Tags

#Best Goals  #Shot Goals  #Luis Suarez  #Cleveland Cavaliers  #Stephen Curry  #Los Angeles Lakers  #New York Knicks  #Thomas Muller  #Best Goals Ever  #Ronaldinho  

Popular Users

#Kaepernick7  #MieshaTate  #JohnCena  #wizkhalifa  #katzm  #JJWatt  #ArianFoster  #mcuban  #BellaTwins  #si_vault  #RobbieSavage8  #geniebouchard  #BarackObama  #lindseyvonn  #themichaelowen