Red Arrows 2-1 Simba SC | Highlights | CAF CC 05/12/2021

Simba SC imetinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC kwa jumla ya mabao 4-2 licha ya kufungwa 2-1 katika mchezo huu wa marudiano uliochezwa leo kwenye Dimba National Heroes, nchini Zambia. Magoli ya Red Arrows yamefungwa na Ricky Banda pamoja na Sadam Phiri huku goli la Simba likifungwa na Hassan Dilunga.

Magoli | Red Arrows 2-1 Simba | CAF CC 05/12/2021

WAMEFUZU: RED ARROWS (2-1)SIMBA Tazama Magoli yote hapa Dilunga Hassan, Banda, Phiri

RED ARROWS (2-1)SIMBA Tazama Magoli yote hapa (CAF CONFEDERATION CUP) #simba #redarrows #magoli - - - KARIBU KUITAZAMA #KALATV, TAFADHALI USISAHAU #KUSUBSRIBE CHANNEL YETU ILI USIPITWE NA CHOCHOTE

Tazama goli la Hassan Dilunga | Red Arrows 2 - 1 Simba sc

usisahau kubonyeza maandishi ya rangi nyekundu yaani subscribe

« Previous Next »

Popular Tags

#Derrick Rose  #Mesut Ozil  #Franck Ribery  #Luis Suarez  #Counter Attack Goals Football  #Counter Attack Goals Football  #Paul Pogba  #Philadelphia 76ers  #Russell Westbrook  #Miami Heat  

Popular Users

#oldhossradbourn  #DeionSanders  #RobbieSavage8  #CNN  #BaileyLAKings  #TimTebow  #TheCUTCH22  #BMcCarthy32  #itsBayleyWWE  #BellaTwins  #PMOIndia  #SrBachchan  #StephenCurry30  #ArianaGrande