Alliance walivyopigwa na Simba 4-1
Alliance walivyopigwa na Simba 4-1

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba Sports Club, wamezoa alama zote sita jijini Mwanza baada ya leo kuishushia kipigo kizito cha mabao 4-1 Alliance FC katika uwanja wa CCM Kirumba. Ushindi wa Simba, umepatikana ikiwa zimepita siku tatu tu, tangu waifunge Mbao FC, mabao mawili kwa moja kwenye uwanja huo huo wa CCM Kirumba. Waliotikisa vyavu leo kwa Simba ni Jonas Mkude, Medie Kagere, Clatous Chama na Hassan Dilunga, huku Alliance FC wikifunga kupitia kwa Israel Patrick Mwenda. Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa wakati Simba akiwararua Alliance FC. #SimbaSC #AlliancevSimba #LigiKuuTanzania ALLIANCE FC 1-4 SIMBA SC | HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 19/01/2020)



Ona Magoli yote ya Mkude na Dilunga  Simba SC yaichapa Mbao 2-1 ,Anaefuata  Ni Allance Jumapili Hii"
Ona Magoli yote ya Mkude na Dilunga Simba SC yaichapa Mbao 2-1 ,Anaefuata Ni Allance Jumapili Hii"

Mkude, Dilunga watupia Simba SC yaichapa Mbao 2-1 Kirumba,Anaefuata Ni Allance Jumapili"



MBAO FC 1-2 SIMBA SC | HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 16/01/2020)
MBAO FC 1-2 SIMBA SC | HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 16/01/2020)

Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa na Hassan Dilunga dakika ya 42, na Jonas Mkude dakika 47 huku bao pekee la Mbao likifungwa na Wazir Junior dakika ya 53. Tazama magoli yenyewe. Simba wamefikisha alama 38 kileleni mwa msimamo wa VPL na Mbao FC, wameendelea kuwepo nafasi ya 14 wakiwa na alama 18.



GOLI LA PILI LA SIMBA LILILOFUNGWA NA JONAS MKUDE
GOLI LA PILI LA SIMBA LILILOFUNGWA NA JONAS MKUDE

GOLI LA PILI LA SIMBA LILILOFUNGWA NA JONAS MKUDE MAGOLI: MBAO FC 1-2 SIMBA SC Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa na Hassan Dilunga dakika ya 42, na Jonas Mkude dakika 47 huku bao pekee la Mbao likifungwa na Wazir Junior dakika ya 53. Tazama magoli yenyewe. Je, lipi kali zaidi



Tazama magoli yote, Simba ilivyoitafuna Mbao FC  kwenye Dimba la CCM Kirumba (VPL - 16/01/2020)
Tazama magoli yote, Simba ilivyoitafuna Mbao FC kwenye Dimba la CCM Kirumba (VPL - 16/01/2020)

MAGOLI: MBAO FC 1-2 SIMBA SC Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Simba yamefungwa na Hassan Dilunga dakika ya 42, na Jonas Mkude dakika 47 huku bao pekee la Mbao likifungwa na Wazir Junior dakika ya 53. Tazama magoli yenyewe. Je, lipi kali zaidi?



Mvua ya Magoli, Simba sc 4-0 Lipuli fc, Kahata, Kagere na Hassan Dilunga
Mvua ya Magoli, Simba sc 4-0 Lipuli fc, Kahata, Kagere na Hassan Dilunga

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA
HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA

HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ushindi wa leo wa mabao 4-0 mbele ya Lipuli uwanja wa Uhuru ni zawadi ya mashabiki siku ya X-Mass na umetokana na umakini wa kutumia makosa ya wapinzani wao kupata matokeo. Kwenye jumla ya mabao 4-0 ambayo Simba imefunga leo, Dilunga alifunga mabao mawili dakika ya 57 kwa mkwaju wa penalti na la pili dakika ya 65 akimalizia pasi ya Sharaf Shiboub huku lile la ufunguzi likifungwa na Francis Kahata akimalizia pasi ya Shomari Kapombe dakika ya 10 na la pili Meddie Kagere alipachika akimalizia pasi ya Clatous Chama. GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Cleveland Cavaliers  #Counter Attack Goals Football  #Kawhi Leonard  #Stephen Curry  #Chicago Bulls  #Anthony Davis  #Neymar  #New York Knicks  #Best Goals  

Popular Users

#DanicaPatrick  #RobGronkowski  #lindseyvonn  #CNN  #IAmJericho  #narendramodi  #wizkhalifa  #Oprah  #JayBilas  #ArianFoster  #Drake  #rogerfederer  #HEELZiggler