Highlights | JKT Tanzania 2-1 Mtibwa Sugar | VPL 18/07/2021
Highlights | JKT Tanzania 2-1 Mtibwa Sugar | VPL 18/07/2021

JKT Tanzania imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar lakini wameshuka daraja baada ya kumaliza ligi wakiwa nafasi nne za chini wakifikisha alama 39 sawa na Mtibwa lakini wamezidiwa idadi ya magoli. Magoli ya leo yamefungwa na Nurdin Seleman kwa penati, Shaban Mgandila na upande wa Mtibwa goli limefungwa na George Makang'a Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Polisi Tanzania 1-0 Mwadui FC | VPL 20/07/2021
Highlights | Polisi Tanzania 1-0 Mwadui FC | VPL 20/07/2021

Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Ruvu Shooting 0-1 Azam FC | Highlights | VPL 18/07/2021
Ruvu Shooting 0-1 Azam FC | Highlights | VPL 18/07/2021

Azam FC imehitimisha msimu wa ligi kwa ushindi ikipata pointi tatu kwenye uwanja mgumu wa mabatinj, Pwani dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting.Goli pekee la Azam limefungwa na Mudathir Yahya. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Gwambina FC | VPL 18/07/2021
Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Gwambina FC | VPL 18/07/2021

PRISONS vs GWAMBINA: Hivi ndivyo Gwambina FC walivyoiaga Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa mwisho wa msimu uliochezwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Prisons walitangulia kwa bao la Kassim Mdoe na Gwambina kujibu kwa penati ya Japhet Mayunga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Magoli | Tanzania Prisons 1-1 Gwambina | VPL 18/07/2021
Magoli | Tanzania Prisons 1-1 Gwambina | VPL 18/07/2021

Hivi ndivyo Gwambina FC walivyoiaga Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa mwisho wa msimu uliochezwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Prisons walitangulia kwa bao la Kassim Mdoe na Gwambina kujibu kwa penati ya Japhet Mayunga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Polisi Tanzania 1-0 Mwadui | Goli la Jimy Shoji | VPL 18/07/2021
Polisi Tanzania 1-0 Mwadui | Goli la Jimy Shoji | VPL 18/07/2021

Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

KMC FC 1-0 Ihefu SC | Goli la Charles Ilanfya | VPL 18/07/2021
KMC FC 1-0 Ihefu SC | Goli la Charles Ilanfya | VPL 18/07/2021

Ihefu SC ya mkoani Mbeya imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa KMC, matokeo yaliyoishusha rasmi daraja Ihefu. Mchezo huu wa kufungia msimu umepigwa kwenye dimba la Uhuru Dar es Salaam na goli limefungwa na Charles Ilanfya. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Goli la Mudathir Yahya | Ruvu Shooting 0-1 Azam FC | VPL 18/07/2021
Goli la Mudathir Yahya | Ruvu Shooting 0-1 Azam FC | VPL 18/07/2021

Azam FC imehitimisha msimu wa ligi kwa ushindi ikipata pointi tatu kwenye uwanja mgumu wa mabatinj, Pwani dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting.Goli pekee la Azam limefungwa na Mudathir Yahya. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

« Previous Next »

Popular Tags

#Stephen Curry  #Boston Celtics  #Best Football Defending Skills  #Lionel Messi  #Gareth Bale  #Best Football Defending Skills  #Best Goals Ever  #Counter Attack Goals Football  #LeBron James  #Best Goalkeeper Saves  

Popular Users

#Oprah  #CP3  #MileyCyrus  #DwyaneWade  #KingJames  #iamsrk  #imVkohli  #ATLHawks  #Buster_ESPN  #PMOIndia  #richarddeitsch  #nfl  #NASA  #taylorswift13  #Cristiano