JKT Tanzania imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar lakini wameshuka daraja baada ya kumaliza ligi wakiwa nafasi nne za chini wakifikisha alama 39 sawa na Mtibwa lakini wamezidiwa idadi ya magoli. Magoli ya leo yamefungwa na Nurdin Seleman kwa penati, Shaban Mgandila na upande wa Mtibwa goli limefungwa na George Makang'a Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz