Content removal request!


Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Gwambina FC | VPL 18/07/2021

PRISONS vs GWAMBINA: Hivi ndivyo Gwambina FC walivyoiaga Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa mwisho wa msimu uliochezwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Prisons walitangulia kwa bao la Kassim Mdoe na Gwambina kujibu kwa penati ya Japhet Mayunga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz