Ewe Mwanadada unaetaka kusuka Fika sasa kwa Msusi Safi wakusuke kisasa na kwa bei nafuu Huduma Zao: Kusuka Nywele mitindo yote | kuosha nywele n.k Wanapatikana Sinza Vatcan Karibu na ukumbi wa Mawela Social Hall Piga: +255 657 306 709 / 0620366579
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA
🔴LIVE:SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM 16/12/024
Msanii wa Bongo Fleva, ambaye ni shabiki maarufu wa Simba SC, Tunda Man, ameonyesha kutoridhishwa na kiwango cha uchezaji wa timu yake licha ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya CS Sfaxien katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, mchezo uliopigwa leo Desemba 15, 2024, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Tunda Man amesema kuwa, ingawa amefurahishwa na matokeo, kiwango cha wachezaji kilikuwa chini ya matarajio yake. Ameongeza kuwa kocha mkuu anapaswa kufanya maboresho katika dirisha hili dogo la usajili. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
#yangasc #alikamwe #azizki #hersisaid #live_ #mayele #msuva #yangaleo #yanga #yangatv
"Wachezaji wako tayari, viongozi wako tayari" - Maneno yaliyosikika wakati Meneja wa Habari na Mawasiliano wa @yangasc, @alikamwe akifanya mahojiano na viongozi wa msafara waliombatana nao DR Congo kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe. Aidha, Kamwe ameeleza kwamba mashabiki wa Yanga tayari wapo mjini Lubumbashi kwa ajili ya kuwapa nguvu wachezaji kwenye mchezo huo wa Jumamosi Desemba 14, 2024. Game itapigwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD Mhariri ✍ @abuuyusuftz #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #CAFCL #YangaSC #TPMazembe
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA
Kamati ya Utendaji ya Yanga imekaa leo na kujadili masuala muhimu kuhusu klabu hiyo ikiwa ni pamoja na usajili wa dirisha dogo......#yangasc #usajili #dirishadogo #alikamwe #hajimanara #manara #yangasc #manaratv #dube #yangasc #alikamwe #manara #hersi #alikamwe #gamondi #pacome #dube #yangasc #subscribe #jahctivetv #azamtv #simbasc #azamfc #manara #alikamwe #ahmedally #michezo #ligikuu #tff #burudani #nbc #soka Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia