YANGA HII SASA SIFA! BILIONEA SAEED WA YANGA KUTOKA DUBAI AMWAGA MAMILIONI ALGERIA UMEONA? CHEKI VIDEO NZIMA HII HAPA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed ametaja sifa za kocha wao mpya ambaye watakuja kumtangaza siku chache zijazo kabla ya mechi yao ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mbingwa dhidi ya Asec Mimosas. Ahmed Ally pia amezungumzia tetesi kuhusu aliyewahi kuwa kocha wao wa viungp Adel Zrane.
YANGA HII SASA SIFA! KUMBE WAMEFICHA WACHEZAJI HAWA WAPYA KAMBINI UMEONA? CHEKI VIDEO NZIMA HII HAPA