Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
SAM SIMBA AIMWAGIA SIFA YANGA AKOSHWA NA MBINU ZA KOCHA MIGUEL GAMONDI MBELE YA MAMELODI SUNDOWN
Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC,Jimmy Kindoki ameeleza furaha yake baada ya kuteuliwa katika nafasi hiyo na kuwaomba Mashabiki na Wanachama wa Yanga SC kumpa Ushirikiano ili aweze kutimiza Majukumu yake ipasavyo. Pia Jimmy Kindoki hakusita kummwagia sifa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Timu hiyo,Ally Kamwe kwa kusema anafanya kazi kubwa na nzuri. Vilevile amesema ana imani kubwa na Wachezaji wapya waliosajiliwa kwenye dirisha dogo.
SIMBA WAMESHUSHA KIUNGO MKATA UMEME, SIFA ZAKE HIZI HAPA KAMA GERSON FRAGA VIERA #azamfc #simba #simbasc #yanga #footballclub
YANGA HII SASA SIFA! HUKU MSUVA, KULE MANU BOLA? USAJILI WAO WATIKISA! KUTQMBULISHWA SAA 6 USIKU! INJINIA HERSI ANATOA TAMKO ZITO UMEONA?