Hayo ndiyo maoni yake alie kua mtangazaji Azam Tv wa mchezo wa AFC uliochezwa katika uwanja wa Shamba la bibi jijini Dar Es Salaam. Kabombe amesema haoni sababu ya Simba kupoteza mchezo wa kimataifa dhidi ya Vipers SC kwasababu kama Simba Ilishinda ugenini kwanini ishindwe kwa Mkapa ?