Content removal request!


HILI NDILO SHANGWE LA MASHABIKI KWA SEMAJI LA CAF/SIMBA NDIO WENYE SAJIRI BORA KATIKA DIRISHA DOGO.

Hayandiyo maneno yamsemaji wa Simba Sc baada ya mchezo wa ugenini wa Simba Sc ikialikwa na wenyeji wa jiji la Dodoma, Dodoma jiji. Pia msemaji wa Simba Sc ameonekana kuwafurahisha mashabiki wengii wa Simba Sc jambo ambalo liliwafanya washindwe kuficha hisia zake kwake nakumshangilia akiongea na waandishi wa habari baada ya mchezo huo kutanmatika.