Shabiki kindakindaki wa Simba SC anayefahamika kwa kama Mzaramo wa Simba amemwaga sifa kem kem Kwa Simba Sc huku akiwatahadharisha wanaoongoza kushuka chini kama kuti la mnazi, pia ametoa tathimini yake kwamba kwa namna Simba inavyocheza sasa na ingizo la Saido basi timu zitafungwa sana kama hazito iheshimu Simba SC
Karibu Simba SC Fans Tv, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama Marudio ya mechi, na mahojiano. Usisahau kujiunga nasi . Karibuni sana.

NAZARETH UPETE: KATIKA KIKOSI CHA SIMBA HAKUNA WAKUMUWEKA KRAMO BENCH/KWASASA NINGUMU KWA ROBERTINHO
Tumefanikiwa kufanya mahojiano na mchambuzi bora kutoka Wasafi fm & tv na kuzungumzia namna tukio la uzinduzi wa jezi litakavyo andika rekodi mpya katika sektaya michezo na utalii.
Wafanya biashara ndogo ndogo pembezoni mwa uwanja wa Manungu wametanabaishwa kwamba ujio wa Simba Sc kucheza katika uwanja huo nifulsa kwao kwasababu mauzo ya biashara zao nimakubwa tofautina ujio wa timu zingine
PASI MILIONI + HAJI MPEMBA: HAWA VIPERS WAMEKOSEA NASA LEO NDO TUNAONYESHA UKUBWA WA SIMBA