Shabiki kindakindaki wa Simba SC anayefahamika kwa kama Mzaramo wa Simba amemwaga sifa kem kem Kwa Simba Sc huku akiwatahadharisha wanaoongoza kushuka chini kama kuti la mnazi, pia ametoa tathimini yake kwamba kwa namna Simba inavyocheza sasa na ingizo la Saido basi timu zitafungwa sana kama hazito iheshimu Simba SC