Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Semaji la CAF Ahmed Ally ameukataa ufunguzi wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao Yanga wanaufanya kwenye Mchezo dhidi ya Vital O kutoka Burundi. Ametoa nondo zake kwanini ufunguzi huo sio ruhusa kutoka CAF bali ni ubunifu kutoka kwa Watani zake Yanga.
Gharib Mzinga ametoa tathmini yake juu ya Leonel Ateba kuhusu wasifu wake akiwa Uwanjani. Simba watafaidika na nini kutokana na uwezo wa Ateba? Mshambuliaji hatari kiasi gani? Tathmini yakinifu juu ya Mshambuliaji mpya wa Simba.
Maoni ya Shabiki na Mwanachama wa Simba SC,Ambaye pia ni Msemaji wa Fountain Gate Princess ,Kessy Hassan ...
Baada ya Mnyama Simba Sc kupoteza Mchezo wake wa Mwisho kwenye hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa dhidi ya Raja ...
Baada ya kushuhudia Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ikipoteza Mechi ya kundi dhidi ya Uganda ikiwa ni Mechi ya kusaka ...
Baada ya kushuhudia Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ikipoteza Mechi ya kundi dhidi ya Uganda ikiwa ni Mechi ya kusaka ...
Leo hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 2:00 Usiku itachezwa Mechi ya Kusaka Tiketi ya Kufuzu Michuano ya ...
Leo hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 2:00 Usiku itachezwa Mechi ya Kusaka Tiketi ya Kufuzu Michuano ya ...
Michezo ya Kimataifa inaendelea kwa sasa ambapo Timu za Mataifa zinatafuta Tiketi ya Kushiriki Michuano ya AFCON Mwaka ...
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" imefanya Mazoezi Uwanja wa Benjamin Mkapa,ikiwa ni maandalizi ya Mchezo wa ...