MFAHAMU ZAIDI LEONEL ATEBA/ANAWEZA KUFUNGA NA KUCHEZA/SIMBA WATAFAIDIKA HAPA. :GHARIBU MZINGA by @Mpenja TV - Post Details

MFAHAMU ZAIDI LEONEL ATEBA/ANAWEZA KUFUNGA NA KUCHEZA/SIMBA WATAFAIDIKA HAPA. :GHARIBU MZINGA

Gharib Mzinga ametoa tathmini yake juu ya Leonel Ateba kuhusu wasifu wake akiwa Uwanjani. Simba watafaidika na nini kutokana na uwezo wa Ateba? Mshambuliaji hatari kiasi gani? Tathmini yakinifu juu ya Mshambuliaji mpya wa Simba.

Similar Posts!