AHMED ALLY AUKATAA UFUNGUZI/"CAF WANA AKILI KULIKO YANGA/VITAL O KWELI!!/UONGO HUU". by @Mpenja TV - Post Details
AHMED ALLY AUKATAA UFUNGUZI/"CAF WANA AKILI KULIKO YANGA/VITAL O KWELI!!/UONGO HUU".
Semaji la CAF Ahmed Ally ameukataa ufunguzi wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao Yanga wanaufanya kwenye Mchezo dhidi ya Vital O kutoka Burundi.
Ametoa nondo zake kwanini ufunguzi huo sio ruhusa kutoka CAF bali ni ubunifu kutoka kwa Watani zake Yanga.