KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Walichokifanya Simba Kabla Ya Kuwafunga Mbeya City
Walichokifanya Simba Kabla Ya Kuwafunga Mbeya City

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStar Mazoezi Ya Simba Kabla Ya Kuwavaa Mbeya City Taifa Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #kikosichasimba #Mbeyacity #Kagere



Kikosi Cha Simba Kilivyoingia Taifa kuwatafuna Mbeya City
Kikosi Cha Simba Kilivyoingia Taifa kuwatafuna Mbeya City

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi Cha Simba Kilivyoingia Taifa kuwatafuna Mbeya City Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



KOCHA AZAM Tulijipanga Kuwafunga SIMBA Kagame
KOCHA AZAM Tulijipanga Kuwafunga SIMBA Kagame

AZAM FC imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame baada ya jana Ijumaa kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.



Kocha wa Gor Mahia Dylan Kerr Tumetoka Kagame, Azam Safi
Kocha wa Gor Mahia Dylan Kerr Tumetoka Kagame, Azam Safi

Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Azam FC ililazimika kusubiri hadi dakika 30 za nyongeza kupata tiketi ya kwenda fainali, baada ya kubanwa kwa sare ya 0-0 ndani ya dakika 90. Mabao ya Azam FC ambayo leo ilimkosa kinara wake wa mabao, Shaaban Iddi Chilunda yamefungwa na Ditram Nchimbi dakika ya 92 na beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa dakika ya 100.



Magoli AZAM 2 - 0 GOR MAHIA Kagame Cup
Magoli AZAM 2 - 0 GOR MAHIA Kagame Cup

AZAM FC imefanikiwa kwenda Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam FC sasa watasubiri mshindi kati ya Simba SC na JKU ya Zanzibar ikutane naye fainali Ijumaa hapa Taifa kujaribu kutetea taji lake ililolitwaa mwaka 2015 Dar eds Salaam pia. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Azam FC ililazimika kusubiri hadi dakika 30 za nyongeza kupata tiketi ya kwenda fainali, baada ya kubanwa kwa sare ya 0-0 ndani ya dakika 90. Mabao ya Azam FC ambayo leo ilimkosa kinara wake wa mabao, Shaaban Iddi Chilunda yamefungwa na Ditram Nchimbi dakika ya 92 na beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa dakika ya 100.



OKWI ATAMBA SIMBA KUWA BORA ZAIDI, AWAPIGA NDANDA FC
OKWI ATAMBA SIMBA KUWA BORA ZAIDI, AWAPIGA NDANDA FC

Mshambuliaji nyota wa wa Simba , Emmanuel Okwi, akiongea na wanahabari baada ya kufunga bao dhidi ya ndanda FC



Gendemarie Walivyokosa Penalti dhidi Ya Simba ...Full Video
Gendemarie Walivyokosa Penalti dhidi Ya Simba ...Full Video

Timu ya Simba imeshinda bao 4-0 dhidi ya Gendemarie ya Djibouti katika Kombe la Shirikisho Uwanja wa Taifa, Dar. Wafungaji wa Simba ni Ndemla, Bocco 2 na Emmanuel Okwi



Emmanuel Okwi Mfungaji Bora Ligi Kuu
Emmanuel Okwi Mfungaji Bora Ligi Kuu

Mshambuliaji nyota wa Simba , Emmanuel Okwi amefunga bao 1 dhidi ya timu ya Simba kwenye Uwanja wa Taifa.




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports