Content removal request!


Gendemarie Walivyokosa Penalti dhidi Ya Simba ...Full Video

Timu ya Simba imeshinda bao 4-0 dhidi ya Gendemarie ya Djibouti katika Kombe la Shirikisho Uwanja wa Taifa, Dar. Wafungaji wa Simba ni Ndemla, Bocco 2 na Emmanuel Okwi