KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Magoli Yote: SIMBA 5 -1 ALLIANCE FC, LIGI KUU, 24 OKT 2018
Magoli Yote: SIMBA 5 -1 ALLIANCE FC, LIGI KUU, 24 OKT 2018

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars OKWI, CHAMA, KWASI NA SALAMBA WOTE WAFUNGA SIMBA SC YAIKANDAMIZA ALLIANCE FC 5-1 TAIFA MABINGWA watetezi, #SimbaSC wamepata ushindi wa kishindo baada ya kuichapa 5-1 #AllianceFC katika mchezo wa #LigiKuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Simba SC ifikishe pointi 20 baada ya kucheza mechi tisa na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu, sasa ikiziwa pointi nne na vinara, Azam FC ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi. Watani wao wa jadi, Yanga SC wanafuatia kwa pointi zao 19 na kesho watacheza mechi yao ya nane kwa kumenyana na KMC Saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa. Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi alifunga bao la kwanza dakika ya 10 kwa kichwa akimalizia pasi ya kocha baada ya krosi ya beki Mghana, Nicholas Gyan baada ya kona fupi kutoka upande wa kulia. Kikosi cha Simba SC leo kilikuwa; Aishi Manula, Nicholas Gyan/Shomari Kapombe dk46, Asante Kwasi, Juuko Murshid, Pascal Wawa, Said Ndemla, Mohammed ‘Mo’ Ibrahim/Hassan Dilunga dk61, Clatous Chama, Adam Salamba/Meddie Kagere dk75, John Bocco na Emmanuel Okwi. Alliance FC; Kelvin Richard, Israle Patrick, Hance Masoud, Wema Sadock, Geoffrey Luseke, Juma Nyangi, Dickson Ambundo, Balama Mapinduzi/Martin Kiggi dk89, Michael Chinedu/Juhudi Philemon dk61, Jamal Mtegeta/Zabona Khamis dk80 na Siraj Juma. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



KOCHA SIMBA, Afunguka, Alliance Bao 5-1, Tupo Vizuri
KOCHA SIMBA, Afunguka, Alliance Bao 5-1, Tupo Vizuri

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wamepata ushindi wa kishindo baada ya kuichapa 5-1 Alliance FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kocha wa simba Patrick Aussems amekifagilia kikosi chake kwa kufanya vizuri huku akitamba kuwa na wachezaji bora. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



ALLIANCE FC Walivyotua Kinyonge Taifa Kucheza Na Simba
ALLIANCE FC Walivyotua Kinyonge Taifa Kucheza Na Simba

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC VS #ALLIANCEFC: Alliance wamekuwa wa kwanza kuingia katika Uwanja wa Taifa na hapa ni wakati wakiwasili. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Simba Walivyotua KIBABE Taifa Kuifunga Alliance FC
Simba Walivyotua KIBABE Taifa Kuifunga Alliance FC

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC VS #ALLIANCEFC: Kikosi cha Simba kikiwasili uwanja wa Taifa kwa ajili ya mpambano wake na Alliance FC. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Magoli Yote Simba 2 -1 African Lyon, Highlight
Magoli Yote Simba 2 -1 African Lyon, Highlight

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imeamsha makali yake baada ya kuichapa African Lyon ya Dar es Salaam mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa leo. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 14 baada ya kucheza mechi saba, ikijivuta hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu, nyuma ya Azam FC pointi 15 za mechi saba, Singida United pointi 16 mechi tisa na Mtibwa Sugar pointi 17 mechi tisa. Ushindi wa leo wa Simba SC umetokana na mabao ya kiungo mzalendo, Shiza Ramachani Kichuya kipindi cha kwanza na mshambuliaji wake Mganda, Emmanuel Okwi kipindi cha pili, wakati bao la Lyon limefungwa na Awadh Juma dakika ya 62. Kichuya ambaye ameporomoka kiasi cha kuachwa timu ya taifa, leo aliamsha makali yake kwa kufunga bao la kwanza mapema tu dakika ya nane akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Kapombe Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Kocha Simba, ''Tumekipiga sana'' Kagere/Okwi/Chama Awajatulia
Kocha Simba, ''Tumekipiga sana'' Kagere/Okwi/Chama Awajatulia

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga SC umemalizika kwa sare ya bila kufungana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jioni ya leo. Kwa sare hiyo, Yanga SC inajisogeza nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu kutokana na kujiongezea pointi moja na kufikisha 13 baada ya kucheza mechi tano, nne nyingine zote wakishinda. Kwa upande wao, mabingwa watetezi, Simba SC wanafikisha pointi 11 baada ya kucheza mechi sita, wakitoa sare ya pili leo na kufungwa moja, nyingine tatu wakishinda. Lakini Simba SC watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kuondoka na pointi zote kwenye mchezo wa leo, kwani walifanikiwa kuwazidi wapinzani wao muda wote Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



RATIBA! Mechi 11 Za Simba Zijazo, 5 kucheza Nyumbani
RATIBA! Mechi 11 Za Simba Zijazo, 5 kucheza Nyumbani

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Ratiba ya mechi 11 zijazo za timu ya Simba, ratiba inaonesha mechi 5 mfululizo itazipiga kwenye Uwanja wake wa nyumbani. Ndanda FC v Simba SC Mbao FC v Simba SC Mwadui FC v Simba SC Simba SC v Biashara United Simba SC v Yanga SC Simba SC v African Lyon Simba SC v Stand United Simba v Alliance FC Ruvu Shooting FC v Simba SC JKT Tanzania v Simba SC KMC FC vs Simba SC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Kocha wa Simba Afunguka Kagere Kufunga dhidi ya Mbeya city
Kocha wa Simba Afunguka Kagere Kufunga dhidi ya Mbeya city

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Alichokisema Kocha Wa Simba Baada Ya Ushindi 2-0 Dhidi Ya Mbeya City Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports