Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameonyesha bado wapo vizuri katika kulilinda taji lao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji, Patrick J. Aussems, inafikisha pointi 30 katika mechi ya 13, sasa ikizidiwa pointi 14 na vinara, Yanga SC waliocheza mechi 16 wanaofuatiwa na Azam FC, zote za Dar es Salaam wenye pointi 40 za mechi 16 . Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars