Content removal request!


Kwa Mazoezi Haya, Nkana Wanafungwa Kesho Taifa

Timu ya Simba leo imefanya mazoezi katika Uwanja wa Boko jijini Dar es Salaam Kujiandaa na timu ya Nkana Fc siku ya Jumapili katika Uwanja wa Taifa, Mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa marudiano. #KUFANAKUPONA #SIMBASC #NKANA Katika Mchezo wa Kwanza Simba walifungwa bao 2-1 nchini Zambia Kitwe