Content removal request!


Kipa KAGERA SUGAR akubali mziki wa MAYELE | "Mtu wa kuchungwa sana"

Golikipa wa klabu ya Kagera Sugar akizungumzia mchezo wao wa leo dhidi ya Yanga, ambapo ameruhusu magoli 3 na kusema kuwa mshambuliaji wa Yanga Feston Mayele ni mchezaji wa kuchungwa kwani ni mshambuliaji mzuri.