Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Baraka Mpenja achambua ubora wa majembe mapya Simba, Yanga | Mutale ni SGR mtupu? amtaja Chama
Baraka Mpenja achambua ubora wa majembe mapya Simba, Yanga | Mutale ni SGR mtupu? amtaja Chama

Mchambuzi na Mtangazaji wa soka, Baraka Mpenja ametoa mtazamo wake kuhusu nusu fainali ya Ngao ya Jamii ya Dabi ya Kariakoo itakayopigwa kesho Agosti 8, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku akisisitiza dabi hiyo huwa haitabiriki, lakini anaona itaamuliwa na eneo la kiungo. Hata hivyo, Mpenja amesema wachezaji wapya watano au sita waliosajiliwa msimu huu na Simba wanaweza kuanza kikosi cha kwanza, lakini kwa upande wa Yanga haoni mabadiliko makubwa kwani kikosi kinaweza kuwa kile kile, huku akimpa Prince Dube nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza cha timu hiyo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



MAESTRO apagawa na Simba mpya, achambua ubora wa DEBORA, aponda MANULA kusahauliwa
MAESTRO apagawa na Simba mpya, achambua ubora wa DEBORA, aponda MANULA kusahauliwa

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



Tazama bao la kikatili la JEAN BALEKE alivyowatesa wapizani wa BAYERN MUNICH ๐Ÿ™Œ Yanga 1-2 Augsburg
Tazama bao la kikatili la JEAN BALEKE alivyowatesa wapizani wa BAYERN MUNICH ๐Ÿ™Œ Yanga 1-2 Augsburg

Klabu ya Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Augsburg katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini. Mshambuliaji mpya wa Yanga Jean Baleke ameanza vyema baada ya kufunga bao la kufutia machozi kwa timu yake huku Mads Pedersen na Niklas Dorsch wakiifungia Augsburg. FT: FC Augsburg 2-1 Yanga. Video Credit @azamtvtz @fcaugsburg #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #augsburg #alahlysc #miraj #baleke #chama #aziziki



Aziz KI atua Dar kininja na mabegi sita, atuliza presha za mashabiki Yanga, kumaliza utata leo
Aziz KI atua Dar kininja na mabegi sita, atuliza presha za mashabiki Yanga, kumaliza utata leo

Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku alitolewa Uwanja wa Ndege kininja. Aziz KI, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumziko nchini kwao kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3. Alichofanya Azizi Ki, kwanza akamtanguliza mfanyakazi mmoja wa Uwanja wa Ndege kutangulia mbele na mabegi yake makubwa sita aliyotua nayo. Hatua ya pili ikawa Ofisa mmoja wa Yanga Godlisten Anderson 'Chicharito' aliyekuja kumpokea uwanjani hapo kumpenyezea kofia maarufu kwa jina la kepu, ambayo kiungo huyo ilipomfikia akatoka akiwa ameishusha kijanja mithili ya mtu asiyetaka kujulikana. Hatua ya tatu akatoka akiwa peke yake huku Ofisa huyo wa Yanga akitangulia mbele wakiachana kwa hatua sita na kiungo huyo kisha kupanda kwenye gari moja aina ya Toyota Alphard iliyotoka uwanjani hapo kwa kasi. Hatua ya nne mara baada ya kufika nje ya uwanja wa Ndege kiungo huyo akakuta gari nyingine aina ya Toyota Harrier ikimsubiri kisha kupanda humo huku ile Alphard ikiondoka na mabegi yake pekee. Ujio wa Azizi Ki ambaye ndiye mfungaji Bora wa Ligi msimu uliopita akimaliza na mabao 21 utawashusha presha mashabiki wa Yanga ambao wanadhani anaweza kuondoka. Yanga bado haijatangaza kwamba Azizi Ki ameongeza mkataba lakini Mwananchi linafahamu kwamba kiungo huyo raia wa Burkina Faso bado ataendelea kuitumikia timu hiyo kufuatia kukubaliana na mabosi wa timu hiyo kwamba atasalia. Pia, kupitia mitandao ya kijamii ya Yanga imetangaza kuwa staa huyo atazungumza mchana wa leo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



Ahmed Ally: LAMECK LAWI amekula mpunga na timu yake
Ahmed Ally: LAMECK LAWI amekula mpunga na timu yake

Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2024/25, huku Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ahmed Ally amezungumza na wanahabari kuhusu sintofahamu ya usajili wa beki Lameck Lawi. Ahmed amesema sakata hilo litamalizwa na mabaraza ya kisheria ya soka lakini wao wanatambua kuwa ni mchezaji wao halali kwani pesa za usajili walitoa kwa mchezaji huyo pamoja na timu yake. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



Shuhudia mwanzo mwisho mwili wa Yusuf Manji ukizikwa Florida, Marekani
Shuhudia mwanzo mwisho mwili wa Yusuf Manji ukizikwa Florida, Marekani

Mwili wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji, umezikwa usiku huu Orlando, Florida nchini Marekani baada ya kuswaliwa katika Msikiti Al Hayy. Manji alifariki dunia akiwa hospitalini nchini Marekani, ikiwa ni miezi miwili tangu alipofanya mahojiano marefu na Mwananchi Dijital akiwa jijini Dar es Salaam.



GB 64: Naisubiri 'Thanks You' ya Jobe, Chama miaka miwili Simba, tunamtaka Aziz KI
GB 64: Naisubiri 'Thanks You' ya Jobe, Chama miaka miwili Simba, tunamtaka Aziz KI

Shabiki wa Simba maarufu 'GB 64,' ametoa mtazamo wake kuhusu maboresho ya kikosi hicho katika kipindi hiki cha usajili, akidai kuwa anatamani kusikia mshambuliaji, Pa Omar Jobe akipewa mkono wa kwa heri kwani kiwango chake kinazidi kushuka na hana mchango tena ndani ya kikosi hicho msimu ujao 2024/25. Hata hivyo, anatamani kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI awe miongoni mwa mastaa wa Wekundu wa Msimbazi, huku akitamba tayari kiungo wao Clatous Chama, ameshasaini miaka miwili kuitumikia timu yao. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



Ninja asimulia jinsi alivyopigwa Congo na walinzi kisa picha ya Hersi
Ninja asimulia jinsi alivyopigwa Congo na walinzi kisa picha ya Hersi

Baada ya beki wa kati, Abdallah Shaibu 'Ninja' kumalizana na Lubumbashi Sport ya DR Congo, ametaja mipango aliyonayo kwa msimu ujao, huku akisimulia kisa kupiga picha na Injinia Hersi Said. Ninja alijiunga na Lubumbashi Sports kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Yanga ameutumikia mmoja, kisha ameomba kuondoka akitoa sababu ni usalama mdogo wa maisha ya DR Congo. "Japo kuna timu tatu za DR Congo zinahitaji huduma yangu, labda nipewe pesa ndefu, hata nikikaa kwa shida familia yangu Tanzania iwe salama, nje na hapo zipo timu hapa nyumbani zinahitaji huduma yangu nitazipa nafasi, kwanza Ligi Kuu Bara ni maarufu na inafuatiliwa na nchi mbalimbali," amesema na kuongeza; "Wakati nafika mara ya kwanza, niliambiwa kutembea mwisho saa 3:00 usiku, kila mtaa unapita unakutana na askari, sasa kuna wakati mwingine unaweza ukatoka kutafuta chakula cha Kitanzania, saa 3:00 ikikukutia nje ya nyumba yako ni shida." Hata hivyo, Ninja amesema hatosahau kipigo alichopigwa na walinzi wakati akiingia uwanjani kwenda kukutana na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports