Content removal request!


Shuhudia mwanzo mwisho mwili wa Yusuf Manji ukizikwa Florida, Marekani

Mwili wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji, umezikwa usiku huu Orlando, Florida nchini Marekani baada ya kuswaliwa katika Msikiti Al Hayy. Manji alifariki dunia akiwa hospitalini nchini Marekani, ikiwa ni miezi miwili tangu alipofanya mahojiano marefu na Mwananchi Dijital akiwa jijini Dar es Salaam.