Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

'NILISAHAU MASHARTI YA FREDY, KABLA YA KIFO AKANIAMBIA ZULFA NJOO UNIONE AU MPAKA USIKIE NIMEKUFA'
'NILISAHAU MASHARTI YA FREDY, KABLA YA KIFO AKANIAMBIA ZULFA NJOO UNIONE AU MPAKA USIKIE NIMEKUFA'

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE
"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE

Baba wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa, Nahum Kiluswa, ameiambia Mwananchi Digital kuwa kwa mara ya kwanza kijana wake alipata maradhi ya moyo akiwa safarini mwezi mmoja uliopita. Kiluswa amesema kuwa Novemba 16, 2024, marehemu alipozidiwa alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuwekwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. โ€œHali yake ilikuwa mbaya, alikuwa akipumua kwa shida, huku presha yake ikiwa juu na haikushuka kwa muda mrefu". Ameongeza kuwa marehemu hakuwa na historia ya magonjwa hayo hata alipokuwa mtoto. Fredy Kiluswa, aliyezaliwa mwaka 1992, ameacha mke na watoto wawili. Mwili wake utaagwa Jumanne, Novemba 19, 2024, katika viwanja vya Leaders Club kisha kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Povu la mashabiki Yanga: Kipigo hiki 3-1 tutaoza, tulilewa sifa, Vilio na Hasira vyatawala Chamazi!
Povu la mashabiki Yanga: Kipigo hiki 3-1 tutaoza, tulilewa sifa, Vilio na Hasira vyatawala Chamazi!

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Ni kweli RAIS wa YANGA bado ana ugomvi na MAYELE?
Ni kweli RAIS wa YANGA bado ana ugomvi na MAYELE?

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Ahmed Ally afunguka ukweli kuhusu Kagoma na Lameck Lawi | Ni aibu Simba ikikosa kufuzu makundi CAFCC
Ahmed Ally afunguka ukweli kuhusu Kagoma na Lameck Lawi | Ni aibu Simba ikikosa kufuzu makundi CAFCC

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa ugenini Septemba 15, 2024, itakuwa ngumu. Hata hivyo, amesema wamejipanga vyema ili kupata ushindi utakaowaweka katika nafasi nzuri kwa mechi ya marudiano. Pia amesisitiza, itakuwa aibu kubwa endapo timu hiyo itashindwa kufuzu makundi, na kwamba kauli mbiu ya 'Ubaya Ubwela' itawarudia kutokana na matarajio makubwa waliyojiwekea ya kufanikiwa 2024/25. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

CHAMA anayepikwa na DENZEL TRAINER balaa jipya YANGA ๐Ÿ”ฅ Afichua kinachomponza ๐Ÿค”
CHAMA anayepikwa na DENZEL TRAINER balaa jipya YANGA ๐Ÿ”ฅ Afichua kinachomponza ๐Ÿค”

MWALIMU wa mazoezi, Denzel Trainer, ambaye ametrend katika mitandao ya kijamii akiwapa mazoezi ya kibabe watu mbalimbali maarufu wakiwamo nyota wa soka kama Pacome Zouzoua wa Yanga, Mohammed Hussein โ€˜Tshabalalaโ€™ wa Simba na wengineo, amesema tizi analompa Clatous Chota Chama limechangia wepesi aliokouwa nao wakati akitoa yale maasisti manne na kufunga bao moja wakati Yanga ikiichakaza Vitalโ€™O ya Burundi 6-0 katika mechi ya marudiano ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

COASTAL UNION wamerudisha hela yetu ya usajili wa LAMECK LAWI
COASTAL UNION wamerudisha hela yetu ya usajili wa LAMECK LAWI

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

YANGA wanacheza kama MAN CITY ๐Ÿ˜‚ Msemaji wa Vital'O aeleza jinsi walivyokamuliwa

Highlights

MSIKIE JUMA MGUNDA kuhusu MATOLA | "Timu iko mikono salama" BIG BULLETS vs  SIMBA SC
MSIKIE JUMA MGUNDA kuhusu MATOLA | "Timu iko mikono salama" BIG BULLETS vs SIMBA SC

Kocha wa muda wa klabu ya Simba Juma Mgunda akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kikosi chake leo kluibuka na ...

UTACHEKA..!! VITA YA MANENO mashabiki wa YANGA vs AZAM | Kwani Manchester ina TAWI..?
UTACHEKA..!! VITA YA MANENO mashabiki wa YANGA vs AZAM | Kwani Manchester ina TAWI..?

Baada ya klabu zao kutoa sare uwanjani vita iliamia kwa mashabiki ambapo mashabiki wa Yanga na Azam walijikuta ...

HUZUNI..!! Mashabiki YANGA wakitoa ya moyoni baaada ya mchezo dhidi ya AZAM
HUZUNI..!! Mashabiki YANGA wakitoa ya moyoni baaada ya mchezo dhidi ya AZAM

Maoni mbalimbali ya baadhi ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kwenye dimba la Benjamin Mkapa kuitazama timu yao ...

#EXCLUSIVE: MPOLE afunguka kuikimbia SIMBA | Geita wampa anachotaka
#EXCLUSIVE: MPOLE afunguka kuikimbia SIMBA | Geita wampa anachotaka

follow @mwanaspoti_tz Mshambuliaji wa #Geita Gold, George #Mpole amefunguka kilichokwamisha usajili wake kujiunga na ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports