🔴LIVE: DEAL DONE: SIMBA WASHUSHA KIUNGO KUTOKA DIFAA EL JADIDA ISMAEL SAWADOGO ASAINI MIAKA MIWILI
🔴LIVE: DEAL DONE: SIMBA WASHUSHA KIUNGO KUTOKA DIFAA EL JADIDA ISMAEL SAWADOGO ASAINI MIAKA MIWILI

Klabu ya Simba imemtangaza Kiungo Mpya Raia wa Burkinafaso kutoka Difaa El Jadida Ismael Sawadogo baada ya kusaini Mkataba wa Miaka miwili akitokea nchini Morocco. Kiungo huyo atawasili nchini kesho Jumapili Alfajiri na atasubiri kujiunga na kikosi kitakapowasili Jumanne kutokea Dubai.



🔴LIVE: FEITOTO ATAJWA KOCHA YANGA AKIFUNGUKA WALIVYOJIPANGA KUWAFUNGA AZAM KESHO KWA MKAPA
🔴LIVE: FEITOTO ATAJWA KOCHA YANGA AKIFUNGUKA WALIVYOJIPANGA KUWAFUNGA AZAM KESHO KWA MKAPA

Kocha Msaidizi wa Yanga SC ameweka wazi mipango ya timu kuelekea mchezo wao wa kesho Disemba 25 dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.



Ratiba ya YANGA kurudi DAR | Maneno ya Manara
Ratiba ya YANGA kurudi DAR | Maneno ya Manara

Ratiba ya YANGA kurudi DAR na Maneno ya Manara Huko Instagram Haji manara atangaza ratiba ya Yanga kurudi Tanzania na kusema kuwa watafika saa saba na siku hiyo hiyo wataunga kwenda Mwanza. #hajimanara #yanga #yangaday #aboutbongotv #zuchu #diamondplatnumz #harmonize #rayvanny #wasafi #rayvanny #wasaftv #wasafm #wasatv #azamtv Follow Us on; Instagram; https://www.instagram.com/aboutbongotv/ TikTok; https://www.tiktok.com/@aboutbongotv




« Previous Next »


Popular Tags

#Shot Goals  #Football Defensive Skills  #Gareth Bale  #Kawhi Leonard  #LeBron James  #Franck Ribery  #Allen Iverson  #Lionel Messi  #Best Goalkeeper Saves  #David Silva  

Popular Users

#narendramodi  #TheEllenShow  #TheCUTCH22  #cesc4official  #alexmorgan13  #MieshaTate  #UKCoachCalipari  #J_No24  #oldhossradbourn  #TheRock  #JohnCena  #realDonaldTrump  #hunterpence  #CP3  #TheRealJRSmith