Kocha Msaidizi wa Yanga SC ameweka wazi mipango ya timu kuelekea mchezo wao wa kesho Disemba 25 dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.