Mchezaji aliyeshinda GOLI la benin afunguka haya kwa samatta MCHEZO wa kuwania Kufuzu Kombe La Dunia 2022 nchini Quartar, timu ya taifa ya Tanzania imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Benin. Kipindi cha kwanza Stars walikosa nafasi ya kupata bao la kuongoza kupitia kwa Simon Msuva ambaye aliweza kumkwepa kipa ila shuti lake liliokolewa na beki. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Alichokisema Manara kuhusu kuondoka Yanga baada ya Wazee wa Yanga kumfukuza Yanga sababu ya Usaliti "Now naweza kufanya kazi zangu bila Presha yoyote,,kundi hili nnalofanya nalo kazi Kwa sasa wala situmii nguvu kubwa,,,ni kuwakumbusha tu !! Angalia siku ya Wananchi,,wala hawakuhitaji kituo kizima cha Redio kifanye Promo ya Mechi wala hawakuhitaji Wasanii hadi waende matawini kuhimiza Washabiki,,,, Hawa ni Die hard fans wa Mabingwa mara 27 wa Taifa hili Adhimu,,,,najivunia kuwa sehemu ya wafuasi wa club hii,,,always ntawatumikia Kwa weledi mkubwa Press moja na media tour ktk vituo viwili wamejaa kibao.. Yanga Africa Wallah mnanipa raha na mtaifanya kazi yangu kuwa very Simple,,,kule Kwa Makolo hadi mishipa ya Shingo ilikuwa inataka kukatika... Sijui nilichelewa wapi kujiunga na club hii ya Moyo wangu." Maneno ya Manara #simbasc #hajimanara #yangasc #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania
Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5 Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KOCHA wa zamani wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemwambia kocha mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, kuwa kama anataka kufuzu hatua inayofuatia ya Ligi ya Mabingwa Afrika, basi ashambulie kwa dakika zote 90. Yanga Jumapili hii itajitupa uwanjani huko nchini Nigeria kuvaana na Rivers United katika mchezo wa marudiano wa michuano hiyo hatua ya awali. Zahera ambaye anasubiriwa kutambulishwa kuwa Mkurugenzi wa Soka la Vijana wa Yanga, anatarajiwa kuwepo katika msafara wa timu hiyo utakaosafiri kwenda Nigeria, kesho Ijumaa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
SIMBA YASHUSHA KIBOKO YA MANARA/ ATEMA SHOMBO MANARA AKASOME Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5 Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KAMA ulikuwa unahisi ni utani basi jua kuwa Klabu ya Al Ahly wapo siriazi katika ishu ya usajili wa winga wa timu hiyo Luis Miquissone ambapo tayari klabu hiyo imewasilisha ofa ya pili ya Sh bilioni 2 za Kitanzania kwa mchezaji huyo huku mwenyewe akikubali kujiunga na miamba hiyo ya Misri. Al Ahly kwa muda mrefu wamekuwa wakitajwa kuiwania saini ya Luis raia wa Msumbiji ambaye tangu ajiunge na Simba Januari 2020, amekuwa kwenye kiwango bora kinachozifanya klabu mbalimbali kumuwania HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars