Magoli yote | Simba 4-0 African Sports | Azam Sports Federation Cup 02/03/2023
Magoli yote | Simba 4-0 African Sports | Azam Sports Federation Cup 02/03/2023

Ni mechi ya raundi ya nne (16 bora), Simba wakiwatandika 4-0 African Sports kutoka Ligi Daraja la Kwanza (#Championship) , kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Wafungaji kwenye mchezo huu ni Jean Baleke dakika ya 36, Kennedy Juma dakika ya 47, Mohamed Mussa dakika ya 69 na Jimmyson Mmwanuke dakika ya 90. Haya hapa magoli yote manne.

SIMBA TUKIFUNGWA NA AFRICAN SPORTS CAF WATALIA SANA/TUTACHEZA KAMA NA  ORLANDO PIRATES/KIBU DENIS...
SIMBA TUKIFUNGWA NA AFRICAN SPORTS CAF WATALIA SANA/TUTACHEZA KAMA NA ORLANDO PIRATES/KIBU DENIS...

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC ,Ahmed Ally amezungumzia maandalizi yao ya Mchezo wa kesho wa kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 16 Bora dhidi ya African Sports ,Utakaochezwa Uwanja wa Uhuru,Saa 10 Jioni.

KMC 1-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/12/2022
KMC 1-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/12/2022

KMC vs COASTAL UNION: Ni mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, ...

Magoli | KMC 1-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League 15/11/2022
Magoli | KMC 1-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League 15/11/2022

Ni ushindi wa mabao 2-1 ikiupata Dodoma Jiji FC ugenini dhidi ya KMC, mechi ikipigwa kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam.

🔴#TBCLIVE: RUVU SHOOTING FC (1) vs (1) GEITA GOLD FC | UWANJA WA UHURU, DAR ES SALAAM
🔴#TBCLIVE: RUVU SHOOTING FC (1) vs (1) GEITA GOLD FC | UWANJA WA UHURU, DAR ES SALAAM

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” TBC Live ...

🔴#TBCLIVE: KMCFC  (2) VS (1) MTIBWA SUGAR  (UWANJA WA UHURU , DSM)
🔴#TBCLIVE: KMCFC (2) VS (1) MTIBWA SUGAR (UWANJA WA UHURU , DSM)

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” TBC Live ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Kevin Durant  #Luis Suarez  #Best Football Defending Skills  #Cleveland Cavaliers  #Los Angeles Lakers  #Russell Westbrook  #Shot Goals  #Thomas Muller  #LeBron James  #Franck Ribery  

Popular Users

#normmacdonald  #darrenrovell  #hunterpence  #selenagomez  #DjokerNole  #wizkhalifa  #JasonDufner  #ArianFoster  #fauxpelini  #si_vault  #BMcCarthy32  #tigerwoods  #BillGates  #AntDavis23