Ni mechi ya raundi ya nne (16 bora), Simba wakiwatandika 4-0 African Sports kutoka Ligi Daraja la Kwanza (#Championship) , kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Wafungaji kwenye mchezo huu ni Jean Baleke dakika ya 36, Kennedy Juma dakika ya 47, Mohamed Mussa dakika ya 69 na Jimmyson Mmwanuke dakika ya 90.
Leo kwenye Uwanja wa Uhuru Simba Sc amemkaribisha African Sports kwenye Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation ...
Ni mechi ya raundi ya nne (16 bora), Simba wakiwatandika 4-0 African Sports kutoka Ligi Daraja la Kwanza (#Championship) , kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Wafungaji kwenye mchezo huu ni Jean Baleke dakika ya 36, Kennedy Juma dakika ya 47, Mohamed Mussa dakika ya 69 na Jimmyson Mmwanuke dakika ya 90. Haya hapa magoli yote manne.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC ,Ahmed Ally amezungumzia maandalizi yao ya Mchezo wa kesho wa kombe la Shirikisho la Azam Sports hatua ya 16 Bora dhidi ya African Sports ,Utakaochezwa Uwanja wa Uhuru,Saa 10 Jioni.
KMC vs COASTAL UNION: Ni mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, ...
Ni ushindi wa mabao 2-1 ikiupata Dodoma Jiji FC ugenini dhidi ya KMC, mechi ikipigwa kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam.