Leo Tarehe 20 Agosti,Simba Sc ikiwa Nyumbani inamkaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es salaam Majira ya Saa 10:00 Jioni ikiwa ni Ligi Kuu ya NBC. Mpenja Tv tayari tuko Mubashara kukuletea Mfululizo wa Mechi hiyo…
Post match interview after Darajani Gogo 0- 3 Shabana FC at Police Sacco Stadium.
Msemaji wa klabu ya@simbasport amezungumnza na valor tv kuhusu Usajili wa Simba kwenye dirisha ndogo la usaliji, swala Manzoki, Luis, Saido Ntibanzokiza ni mdogo.
Leo April 6, 2022 Unapigwa mchezo Wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara baina ya Azam FC na Yanga mchezo unaopigwa hapa Azam Complex Chamazi majira ya Saa 20:15 Usiku Mpenja TV tuko hapa Uwanja Wa Azam Complex Chamazi kukuletea kila Nukta ya Jambo linalochomoza hapa #MpenjaTV #mpenjatv #AzamFC #YangaSC #AzamfcvsYangaSC #NBCPremierleague #Ligikuu #live