Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ikiwa na hasira ya kupoteza mechi mbili mfululizo, mnyama Simba ameifurusha Mwadui FC kwa jumla mabao 5-0 dimbani Uhuru kwenye mchezo wa VPL raundi tisa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Leo zimepigwa mechi nneza raundi ya tisa... na matokeo ni haya: FT: Biashara 0-1 Yanga. FT: Simba 5-0 Mwadui. FT: Namungo 1-0 Dodoma Jiji. FT: Prisons 0-1 Polisi. Fuatilia uchambuzi baada ya matokeo haya ukiwa na Ahmed Ally, Ally Mayay na Dominick Salamba. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020 kupitia UTV. Ni ndani ya saa 90 za kuangazia zoezi zima la upigaji kura, uhesabuji wa kura na kutangazwa kwa matokeo. Ni UTV pekee utakapopata taarifa za kina na uchambuzi wa siasa za Tanzania hususani uchaguzi wa Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama magoli yote mawili yaliyopatikana kwenye mchezo wa VPL raundi ya tisa kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya JKT Tanzania ambao umemalizika kwa sare ya 1-1 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Wenyeji Uganda wamefuzu nusu fainali baada ya kushinda mchezo wake wa tatu mfululizo, ikiichapa Ertitrea mabao 2-0. Magoli ya Uganda yamefungwa na Nicholas Kazozi dakika ya 57 pamoja na Mustafa Kizza kwa mkwaju wa penati dakika ya 79. Matokeo hayo yanaifanya Uganda kuongoza kundi A ikiwa na pointi tisa, ikifuatiwa na Djibouti yenye pointi 4, Eritrea pointi 3, Somalia nafasi ya nne na pointi 1 na mkiani wapo Burundi wakiwa hawana pointi.
KOCHA SIMBA "MAGOLI 4 0 Nimefanikiwa Malengo Yangu" Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha jumla ya pointi 21 baada ya kucheza mechi nane imeshinda saba na imepoteza mechi moja huku Mbeya City ikiwa imeshinda mechi moja kati ya tisa iliyocheza mpaka sasa na imetoa sare tano na kupoteza mechi tatu. HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li