#AFCONQ2023 Taifa Stars imeibuka na ushindi mbele ya Niger na kufikisha pointi 7 kwenye kundi lake. 

Sasa tunasubiri matokeo ya Uganda dhidi ya Algeria ili kujua nafasi ya Tanzania kufuzu AFCON itakuwaje.

#TaifaStars #Niger

#AFCONQ2023 Taifa Stars imeibuka na ushindi mbele ya Niger na kufikisha pointi 7 kwenye kundi lake. Sasa tunasubiri matokeo ya Uganda dhidi ya Algeria ili kujua nafasi ya Tanzania kufuzu AFCON itakuwaje. #TaifaStars #Niger



05’ | #AFCONQ 

Tanzania 0-0 Niger 

LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee.

#KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger #TanzaniaNiger

05’ | #AFCONQ Tanzania 0-0 Niger LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee. #KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger #TanzaniaNiger



#AFCONQ2023 Mchezo umeanza tayari katika dimba la Benjamin Mkapa. Tanzania 0-0 Niger #TaifaStars #Niger



KUFUZU AFCON 2023: Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikipasha misuli moto ndani ya dimba la Benjamin Mkapa tayari kuivaa Niger. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee. #KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger



KUFUZU AFCON 2023: Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimewasili ndani ya dimba la Benjamin Mkapa tayari kuivaa Niger. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee. #KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger



Tanzania vs Niger
Tanzania vs Niger

total #2gendahtvonline #taifastars #niger #TotalEnergiesAFCONQ2023 Tanzania vs Niger.



“…tunakwenda kumpasua Niger” – Mashabiki wa Taifa Stars kuelekea mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania vs Niger, kesho saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee #TaifaStars #KufuzuAFCON #AFCONQ2023 #KufuzuAFCON2023



Mashabiki wa timu mbili pendwa Tanzania za Simba na Yanga, kesho wanaungana kwa pamoja kuishangilia Taifa Stars itakaposhika katika dimba la Mkapa kuikabili timu ya Taifa ya Niger. Yakiwa ni mashindano ya kufuzu mashindano ya Kombe la mataifa ya Afrika (AFCON). 

#TaifaStars #TFF

Mashabiki wa timu mbili pendwa Tanzania za Simba na Yanga, kesho wanaungana kwa pamoja kuishangilia Taifa Stars itakaposhika katika dimba la Mkapa kuikabili timu ya Taifa ya Niger. Yakiwa ni mashindano ya kufuzu mashindano ya Kombe la mataifa ya Afrika (AFCON). #TaifaStars #TFF




« Previous Next »


Popular Tags

#Lionel Messi  #James Harden  #Shot Goals  #Paul George  #Miami Heat  #Mesut Ozil  #Football Skills  #Los Angeles Lakers  #David Silva  #Zlatan Ibrahimovi  

Popular Users

#realDonaldTrump  #YouTube  #floydmayweather  #TheRock  #SrBachchan  #serenawilliams  #CP3  #JoelEmbiid  #MieshaTate  #J_No24  #Ky1eLong  #rihanna  #MikePereira  #jimmyfallon