"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE
"NILIPOGEUKA TU AKAKATA ROHO!" BABA MZAZI WA MWIGIZAJI FREDY, ATAJA KINACHOMUUMIZA KIFO CHA MWANAYE

Baba wa marehemu mwigizaji Fredy Kiluswa, Nahum Kiluswa, ameiambia Mwananchi Digital kuwa kwa mara ya kwanza kijana wake alipata maradhi ya moyo akiwa safarini mwezi mmoja uliopita. Kiluswa amesema kuwa Novemba 16, 2024, marehemu alipozidiwa alikimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuwekwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu. “Hali yake ilikuwa mbaya, alikuwa akipumua kwa shida, huku presha yake ikiwa juu na haikushuka kwa muda mrefu". Ameongeza kuwa marehemu hakuwa na historia ya magonjwa hayo hata alipokuwa mtoto. Fredy Kiluswa, aliyezaliwa mwaka 1992, ameacha mke na watoto wawili. Mwili wake utaagwa Jumanne, Novemba 19, 2024, katika viwanja vya Leaders Club kisha kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA TAIFA STARS KUFUNGWA/CONGO WANATUZIDI UBORA TU/TUIPENDE TAIFA STARS
MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA TAIFA STARS KUFUNGWA/CONGO WANATUZIDI UBORA TU/TUIPENDE TAIFA STARS

#alikamwe #yangatv #azizki #hersisaid #live_ #mayele #msuva #yangaleo #yanga #yangasc




« Previous Next »


Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Best Football Defending Skills  #Mesut Ozil  #LeBron James  #Anthony Davis  #David Silva  #Kawhi Leonard  #Philadelphia 76ers  #Russell Westbrook  #Shaquille O'Neal  

Popular Users

#JohnCena  #katyperry  #LilTunechi  #britneyspears  #LarryFitzgerald  #itsBayleyWWE  #incarceratedbob  #alexmorgan13  #criscyborg  #StephenCurry30  #MariaSharapova  #PMOIndia  #geniebouchard  #YouTube