🔴#LIVE : YANGA SC vs SIMBA SC : LIVE MATCH Karibu kutazama kipindi cha Sports 17 kinachokujia kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 2:30 asubuhi hadi saa 4:00. SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 www.youtube.com/@KASACOMEDIA ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA SWALI AU JAMBO LOLOTE? ⚫️ WASILIANA NA KASAKO MEDIA : ( +255 761984534 ) ⚫️ Email: kasacotv@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW ⚫️ Kwa UPDATES zaidi,Subcribe kasako media ⚫️ Youtube https://www.youtube.com/@KASACOMEDIA Project on the lives of artist and more| @Kashindi Msambilwa| CEO/FOUNDER @Sangani Fikiri. | CEO/FOUNDER @Faila Lumanya | Manage
#YangaDay #Yangasc #UtambulishowachezajiYangasc Wachezaji wapya Waliosajiliwa msimu huu 1. Albert Kangwanda 2. Housseine Zakouani 3. Cheick Ibrahim Toure 4. Peter Shalulile 5. Oumar Farouk Comara 6. Marco Mpemba D 7. Eric Mwijage 8. Abdulnasir Asa Gamal 9. Mohamed Mussa 10. Juma issa Abushir 11. Hussein Mihambo Walioondoka Yanga 1. Shekhan Khamis Mkopo Singida 2. Frank Assink 3. Lassine Kouma 4. Bubah Jammeh 5. Prince Dube 6. Farid Mussa 7. Israel Mwenda 8. Emmanuel Mwanengo Mkopo TRA 9 Balla Conte 10. Mohamed Doumbia Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao Kouassi 2. Kibwana shomari 3. Denis Nkane 4. Bakari Mwamnyeto 5. Salum Abubakari Sure boy 6. Mohamed Damaro IDADI YA WACHEZAJI NA NAMBA ZAO WATAKAZOCHEZA YANGA MAGOLIKIPA 1. Djigui Diarra 2. Hussein Massalanga 3. Aboutwalib Mshery WALINZI KULIA NAMBA 2 1. Yao Kouassi 2. Kibwana shomari 3. Abdulnasir Asa Gamal KUSHOTO NAMBA 3 1. Mohamed Hussein 2. Chadrack Boka WALINZI WA KATI 4&5 1. Dickson Job 2. Ibrahim Bacca 3. Abdallah Othman Nidhar Ninju 4. Oumar Farouk Comara 5. Mohamed Mussa 6. Bakari Mwamnyeto VIUNGO 1. Abdulnasir Mohamed Casemiro 2. Duke Abuya 3. Max Nzengeli 4. Allan Okello 5. Housseine Zakouani 6. Albert Kangwanda 7. Mudathir Yahya 8. Eric Mwijage 9. Fred Ngoma 10. Salum Abubakari Sure Boy 11. Denis Nkane 12. Juma Abushir 13. Kazimoto kapandishwa timu U20 14. Mohamed Damaro WASHAMBULIAJI 1. Clement Mzize 2. Peter shalulile 3. Marco Mpemba D 4. Cheick Ibrahim Toure 5. Hussein Mihambo Wachezaji wote 12 wa Kigeni waliopo Yanga Msimu Huu 1. Djigui Diarra 2. Yao Kouassi 3. Chadrack Boka 4. Oumar Farouk Comara 5. Max Nzengeli 6. Duke Abuya 7. Peter Shalulile 8. Albert Kangwanda 9. Housseine Zakouani 10. Cheick Ibrahim Toure 11. Fred Ngoma 12. Allan Okello NB Pacome Zouzoua ametolewa kwenye mfumo wa usajili tu lakini Bado anasalia ndani ya Yanga kuuguza majeraha yake Hii ndiyo List nzima ya wachezaji wa Yanga msimu huu 2026/2027.
#Yangasc #GaboroneUnited #CAF Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya droo ya hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu wa 2026/27, ambapo wawakilishi wa Tanzania wamepata wapinzani wao. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC itakutana na Mighty Wanderers ya Malawi katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6, 2026 na kumalizia nyumbani kati ya Septemba 11-13. Yanga SC nayo imepangwa kucheza dhidi ya Gaborone United ya Botswana, huku ikianza ugenini na kumalizia nyumbani katika tarehe hizo. Endapo Yanga SC itafuzu hatua hiyo, itakutana na mshindi kati ya CFFA ya Madagascar na Lijabatho FC ya Lesotho katika raundi ya pili ya awali kuwania nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa upande wa Simba SC, itahitaji kuvuka kikwazo cha Mighty Wanderers ili kuendelea na safari ya kusaka nafasi ya kucheza hatua ya makundi. Katika Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC ambayo imeanzia moja kwa moja raundi ya pili ya awali, itakutana na mshindi wa mchezo kati ya ASAS Djibouti Télécom ya Djibouti na ZED FC ya Misri. Nayo Singida Black Stars imepangwa kucheza dhidi ya Al Ghazala SC Wau ya Sudan Kusini katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6 na kurudiana nyumbani Septemba 11-13, 2026.
#Yangasc #Usajilimpya #TetesizausajilimpyaYangasc Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Nyota mpya wa Yanga SC, Albert Kangwanda, amemaliza msimu wa 2025/26 kwa kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Zambia (MVP) baada ya kuonyesha kiwango bora katika msimu mzima. Takwimu zake za msimu kwenye michuano yote: Mechi: 32 Magoli: 17 Asisti: 9 Mchezaji Bora wa Ligi (MVP) Timu alizowahi kuchezea: Red Arrows FC Kafue Celtic FC Zanaco FC Kafue Celtic FC HNK Gorica NK Hrvatski Dragovoljac Red Arrows FC Al-Hilal Omdurman Red Arrows FC Spartanii Sportul Red Arrows FC Wananchi, mnaipa alama ngapi usajili wa Albert Kangwanda? Huyu ni Winga fundi sana na anapiga free kick vibaya mno 2. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundows ,Peter Shalulile (32). Baada ya mazungumzo ya muda mrefu Shalulile amesinya miaka miwili Yanga✅ Yanga wamempa $700,000 (1.8 bilion) kama Sign-on fee. Kipindi ambacho watu wote akili zao zipo kwa Stephane Aziz Ki, viongozi wa Yanga SC wao wakasema hapana-huko tulishapita na mambo yamebadilika! Wakati mnasubiri kuona nani anafuata baada ya Allan Okello (top player kusajiliwa na kuonesha), mabingwa wa nchi wakaona washushe chombo cha viwango vya juu kabisa vya CAF. Hapa hatuongelei mchezaji wa kawaida, naongelea funga kazi Bingwa wa Afrika akiwa na Mamelodi Sundowns, mashine hatari ya kucheka na nyavu, PETER SHALULILE anatua Jangwani🟢🟡 rasmi on a free transfer . Takwimu za Peter Shalulile Mabao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL / SAPD): Mabao 112 (mabao 44 akiwa na Highlands Park na mabao 68 akiwa na Mamelodi Sundowns). Mabao ya CAF Champions League: Mabao 15 (yote akiwa na Mamelodi Sundowns, ambapo pia alikuwa mfungaji bora wa mashindano hayo mwaka 2023). Mabao kwenye Mashindano Yote (Klabu): Mabao 153 katika michezo 353 (mabao 49 Highlands Park na mabao 104 Mamelodi Sundowns). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro ni Winga fundi haswaaa 4. Cheikh Ibrahima Touré ni mshambuliaji mwenye asili ya Senegal na Ufaransa, anayejulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao na kuongoza safu ya ushambuliaji. Kabla ya kujiunga na Yanga SC, Touré alikuwa akicheza nchini Saudi Arabia, ambako alikuwa na msimu bora uliomfanya kuwa miongoni mwa washambuliaji waliofanya vizuri. Takwimu zake msimu uliopita: Mechi: 34 Mabao: 20 Asisti: 5 Touré anajiunga na Yanga akiwa na rekodi nzuri na matarajio makubwa ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa Tanzania. 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo 9.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi Winga kutoka Mashujaa 10. Fred ngoma kiungo kutoka Olympic de Club safi Morocco 11. Marco maarufu kama mpemba D Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent amejiunga na Coastal Union ya Tanga 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda TRA United 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Bakari Mwamnyeto 5. Shadrack Boka 6. Denis Nkane Hii ndiyo orodha ya wachezaji 12 wa kigeni wa Yanga SC kuelekea msimu wa 2026/27, huku klabu hiyo ikiendelea kusuka kikosi cha kupambana kwenye mashindano mbalimbali. 🇨🇮 1. Diarra Djigui 🇨🇮 2. Kouassi Yao 🇨🇮 3. Boka Shadrack 🇨🇲 4. Max Nzengeli 🇰🇪 5. Duke Abuya 🇺🇬 6. Allan Okello 🇳🇦 7. Peter Shalulile 🇫🇷 8. Ibrahima Touré 🇿🇲 9. Albert Kangwanda 🇨🇬 10. Fred Ngoma 🇰🇲 11. Housseine Zakouani 🇦🇴 12. Laurindo Depu 13. Pacome Zouzoua Pacome Zouzoua naye yupo nje kutokana na majeraha na taarifa zinaeleza kuwa hatakuwa sehemu ya msimu ujao
Welcome to ZANDANI SPORTS TV:Our Editorial Lines is to Provide Information with Facts and Evidences.We are adressing on Sports News and World Wide Trends. SUBSCRIBE to Day and Enjoy with Our Programme.Be the one who can Help us to Reach to our Goals.Share ,Like and Comments.