Simba SC imeichakaza KMC mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam..... Magoli ya Simba yamefungwa na Awesu Ally Awesu dakika ya 25, Jean Charles Ahoua mawili dakika ya 38' kwa penati na dakika ya 69', na lingine limetoka kwa Edwin Balua dakika ya 66. Haya hapa magoli yote manne.....
MASHABIKI SIMBA WALIA UWANJANI, WAMKATAA KOCHA MATOLA - ''HATUMTAKI, AONDOKE, HAJIFUNZI''.. DAKIKA 90 za mtanange wa kukata na shoka zimekamilika kwa Simba kushindwa kutamba mbele ya KMC katika Dimba la Mkapa, mchezo umemalizika kwa bao 2 - 2.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Mnyama Simba ameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es salaam. Goli pekee la Simba limefungwa kwa penati na Medie Kagere dakika ya 77. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz