๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA,SHALULILE, GIRUMUGISHA,AZIZI KI NA HAWA
๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA,SHALULILE, GIRUMUGISHA,AZIZI KI NA HAWA

#Petershalulile #JeanGirumugisha #Azizki #Yangasc #Tetesizausajilimpya Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โšฝ Mechi: 26 ๐Ÿฅ… Magoli: 2 ๐ŸŽฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ŸŒ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Mechi: 9 โšฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro . 4.Azizi Ki amerejea tena Yanga Kwa mkataba wa Miaka 2 kutoka Al Ittihad ya libya 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo cosmas ya south Africa na aliwahi kufanya majaribio Dubai ni kinda aliyetikisa Zaidi na Serengeti Boys,msimu huu Kafunga goli 1 pekee dhidi ya Fountain Gate 9. Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 10. Morice Chukwu kiungo na mlinzi wa kati Kutokea Singida BS Tetesi wanaohusishwa kusajiliwa 1. Jean Girumugisha WINGA fundi na hatari Zaidi Barani Africa MVP wa Ligi ya Rwanda msimu uliopita alihusishwa kutambulishwa na mabwanyenye wa Libya Al Ahly Tripol lakini inaonekana Yanga wamemnasa ngoja tusubiri muda utafika inaelezwa hii itakuwa surprise package ya Yanga pale uhuru stadium kwenye Yanga Day 9.8.2026 2. Alphonce Mabula mtanzania anayekipiga huko Bahrain Azerbaijan 3. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Chadrack Boka 5. Bakari Mwamnyeto Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Chadrack Boka 4.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 5.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 6.๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 7.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 8.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua



LIGI YA NBC KUREJEA MAPEMA BAADA YA MECHI ZA STARS KUFUTWA MOROCCO/ IBENGE KUBAKI AZAM FC HADI 2028.
LIGI YA NBC KUREJEA MAPEMA BAADA YA MECHI ZA STARS KUFUTWA MOROCCO/ IBENGE KUBAKI AZAM FC HADI 2028.

LIVE CROWN SPORTS; LIGI YA NBC KUREJEA MAPEMA BAADA YA MECHI ZA STARS KUFUTWA MOROCCO/ IBENGE KUBAKI AZAM FC HADI 2028/ IPI HATMA YA VIJANA WA SERENGETI BOYS BAADA YA AFCON U17?.



VIDEO: WATANZANIA WALIVYOTUA MOROCCO KUSHUHUDIA MECHI ya SERENGETI U-17 vs SENEGAL...
VIDEO: WATANZANIA WALIVYOTUA MOROCCO KUSHUHUDIA MECHI ya SERENGETI U-17 vs SENEGAL...

VIDEO: WATANZANIA WALIVYOTUA MOROCCO KUSHUHUDIA MECHI ya SERENGETI U-17 vs SENEGAL... @COSMA - DAR CC; BAKARI MAHUNDU ============================================================= โšซ๏ธ JE, NA WEWE UNA HABARI? โšซ๏ธ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) โšซ๏ธ Email: globaltvonlinenews@gmail.com โšซ๏ธ OUR PLAYLISTS: โšซ๏ธ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO โšซ๏ธ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua โšซ๏ธ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio โšซ๏ธ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews โšซ๏ธ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ โšซ๏ธ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: โšซ๏ธ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 โšซ๏ธ iOS:https://apple.co/38HjiCx



SIMBA KILELENI MWA MSIMAMO/ YANGA KUPAMBANA KUREJEA KILELENI/ SERENGETI BOYS YATINGA NUSU AFCON U17.
SIMBA KILELENI MWA MSIMAMO/ YANGA KUPAMBANA KUREJEA KILELENI/ SERENGETI BOYS YATINGA NUSU AFCON U17.

LIVE CROWN SPORTS : SIMBA IPO KILELENI MWA MSIMAMO/ YANGA KUPAMBANA KUREJEA LEO KILELENI/ SERENGETI BOYS YATINGA NUSU AFCON U17 2026



AMOS MAKALLA AZISIFIA AZAM, KMC NA SIMBA AIPIGA KIJEMBE YANGA #tanzania #daressalaam #simba #yanga
AMOS MAKALLA AZISIFIA AZAM, KMC NA SIMBA AIPIGA KIJEMBE YANGA #tanzania #daressalaam #simba #yanga

#FURAHAFM #FURAHATV #theyouthchoice KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE FURAHA TV. PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE FURAHA TV https://www.youtube.com/c/FURAHATV Email | furahadigital@gmail.com ๐Ÿ”ด JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI? ๐Ÿ”ด WASILIANA NA FURAHA TV ๐Ÿ”ด Email: furahadigital@gmail.com ๐™๐™๐™–๐™ฃ๐™  ๐™”๐™ค๐™ช ๐™๐™ค๐™ง ๐™’๐™–๐™ฉ๐™˜๐™๐™ž๐™ฃ๐™œ ............................................................................................... Subscribe:https://www.youtube.com/c/FURAHATV #follow #wasafitv #zuchu #goalies #daressalaam #kenya #moped #bhfyp #bungeni #goalielife #love #motorrad #stroke #gospel #yamaha #takt #like #gospelmusic #bauerhockey #ccmgoalie #dodoma #christianmusic #warrior #harmonize #magufuli #life #wcb #s #hockeygoalie #worship #tbc #tv #kondegang #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu #wasafi #wcb #diamondplatnumz #wasafitv #life #tanzania #wasafimedia #wasafifestival #alikiba #wemasepetu #harmonize #chombokwahewa #rayvanny #mwanza #millardayoupdates #watapatatabusana #tumewasha #wasafifm #arusha #daressalaam #kondegang #kenya #shilawadu #zarithebosslady #tweets #hiiniyetusote #simba #dodoma #kondeboy #wcbwasafi #efm #diamondplatnumz #wcb #kondegang #tanzania #wasafimedia #wasafi #wasafitv #harmonize #wemasepetu #rayvanny #alikiba #daressalaam #clouds #yangasc #mwanza #life #millardayoupdates #simbasctanzania #zuchu #simba #cloudsfm #dodoma #mbosso #wasafifm #tbc #arusha #channel #hajimanara #chekatu #udakutz #azamtv #mbeya #everybody #simbasc #yanga #zanzibar #hamisamobetto #jumalokole #morogoro #udsm #cloudstv #kenya #azam #eatv #cloudsmedia #mangekimambi #tumewasha #tweets #ccm #kariakoo #bongo #mwijaku #shilawadu #marioo #kondeboy #wcbwasafi #kigoma #nguvumoja #waah #rayvanny #alikiba #daressalaam #clouds #yangasc #mwanza #life #millardayoupdates #simbasctanzania #zuchu #simba #cloudsfm #dodoma #mbosso #wasafifm #tbc #arusha #channel #hajimanara #chekatu#youtube #youtuber #instagram #music #love #spotify #tiktok #follow #daressalaam #ireneuwoya #uganda #umbea #dodoma #vunjabei #kingkiba #marioo #udsm #mlimanicity #hajimanara #sukari #muziki #wapo #shilole #zuceric omondi,erick omond,erick omondi,eric omond,eric omondi boy from nakhra comedian,timamu comedian,tt comedian 2022,tt comedian movie,youngest comedian,tt comedian movies,tt comedian videos,comedies,titi comedian latest,titi comedian videos,kenya youngest comedian,titi comedian latest video,bongo comedies itv tanzania,tanzania,itv # habari,habari,magazeti ya tanzania,habari za magazeti,magazeti ya leo asubuhi/magazeti ya tanzania,mwanza,kariakoo,harmonize,arusha,miamba,magazeti ya januari,magazeti ya leo januari,southafrica,wanasayansi,aiyola tutorial,simba,yanga,siasa,ardhi,uganda,africa,rwanda,afrika,nchini,america,bungeni,ipp media,9disemba,linaweza,millard ayo,kugawanyika,michezoni leo,mangekimambi,magazetini leotanzania,itv tanzania,michezo,habari mpya,magazeti ya tanzania,itv # habari,michezo tanzania,habari za michezo barani ulaya,habari kubwa za michezo,uchambuzi wa michezo,habari za magazeti,michezoni leo,magazeti ya michezo,habari,magazeti ya leo asubuhi/magazeti ya tanzania,magazeti ya leo tanzania,magazeti ya michezo leo,#tanzania,mtanzania,habari za norway,channelten habari,matukio ya tanzania,breaking news za tanzania,ufmhabari tanzania,habari,burudani,habari mpya,#tanzania,new songs tanzania,latest tanzanian video,latest tanzanian songs 2015,#burudanitanzania#sanaanamuziki#habarizaentertainment,zanzibar,ajali barabarani,karianakidau,#wasafirecords#muzikiwabongo#kampuniyaburudani,duniani leo,zari,mkutano chadema arusha,@effatauhurumoravian,arusha,yamoto band nisambazie raha,tanasha,burundi,mahusiano,harmonize tanzania,habari tanzania events,itv tanzania,tanzania news,siasa,itv habari,tanzania makutukio,habari mpya,afunguka siasa za tanzania,habari,itv # habari,rais wa tanzania,mtanzania,siasa za kanda,abc habari,habari moto,tanzanian governors,simba,middle simba,sakata la bandari,bandari,maridhiano,mikutano ya hadhara,maria spaces,ariel helwani,mwanza,makamu wa rais atangaza kifo cha rais magufuli,kwanza tv,kariakoo,harmonize tanzania,habari mpya,itv tanzania,habari,global habari,kwaya za tanzania,tanzanian artist,magazeti ya leo tanzania,kocha mpya simba,itv # habari,tanzaia,simba tanzania,global habari nov 23: ndege ya tanzania yakamatwa canada,biashara tanzania,kwaya bora tanzania,kwaya za rc tanzania,tanzania kwanza,tanzania choirs,waimbaji wa injili tanzania,nyimbo za injili tanzania,best gospel tanzania,#maafisa habari,gospel music tanzania



MORISON NA AZIZ KI  WAKUTANA NA YANGA PRINCESS/SIKIA USHAURI WAO KUELEKEA DABI YA WANAWAKE.
MORISON NA AZIZ KI WAKUTANA NA YANGA PRINCESS/SIKIA USHAURI WAO KUELEKEA DABI YA WANAWAKE.

Kuelekea dabi ya kariakoo ya ligi ya wanawake ya Serengeti, wachezaji wa Yanga wakiume Benard Morison na Aziz Ki wamekutana na wachezaji wa Yanga Princes na kuzungumza mambo kadhaa. . Fungua video hii kuwasikia.



#ZaNdaaani SIMBA, YANGA KUENDA BUNGENI / SERENGETI GIRLS, SIMBA QUEENS KUNANI?
#ZaNdaaani SIMBA, YANGA KUENDA BUNGENI / SERENGETI GIRLS, SIMBA QUEENS KUNANI?

WATCH WASAFI TV๐Ÿ“บ AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM ๐Ÿ“ป 88.9 DAR/ZNZ/PWANI ๐Ÿ“ป | 104.1 DODOMA ๐Ÿ“ป | 94.5 ARUSHA ๐Ÿ“ป | 97.3 MBEYA ๐Ÿ“ป | 94.9 MWANZA ๐Ÿ“ป | SHINYANGA 106.3 ๐Ÿ“ป | KIGOMA 101.7 ๐Ÿ“ป Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ ๐‘ช๐’๐’‘๐’š๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’• ยฉ2021 ๐‘พ๐’‚๐’”๐’‚๐’‡๐’Š ๐‘ด๐’†๐’…๐’Š๐’‚. ๐‘จ๐’๐’ ๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’•๐’” ๐’“๐’†๐’”๐’†๐’“๐’—๐’†๐’…. #wasafi #wasafitv #wasafifm



Nueces Bay Tough Day
Nueces Bay Tough Day

#Redfish #Reddrum #Oceankayak #Trident15 #KayakFishing #Saltwaterfishing #Marshfishing #Chickenboylures #LighthouseLakes #FishMonkeyGloves #roysbaitandtackle I thought I could get out and find the fish early in the morning on Sunday, October 3rd. Instead I was met with some adversity from being stuck to breaking lines and lost fish. It was a tough day on the water, but I finally managed to catch a couple of redfish. To add insult to injury, when I returned to the launch, I noticed that my kayak was extremely sluggish and I had managed to fill the entire boat with water. I need to go back to the drawing board after this trip. One of the reds was almost pumpkin colored. Super cool site. I also captured a redfish busting bait and another flounder jumping out of the water chasing mullet. Music from Epidemic Sound https://www.epidemicsound.com/ Ooye โ€“ Leaving Serengeti Gear used Ocean Kayak Trident 15 Daiwa BG 3000 spinning reel with 7 ft. St. Croix mojo inshore spinning rod Daiwa BG 2000 spinning reel with 7ft. Falcon spinning rod Chickenboy Bubba Clucker Mullet, Speckled Pecker 3โ€ https://chickenboylures.com/collections/bubba-clucker-mullet Weather It was extremely foggy in the morning with wind blowing from the North around 5 mph, increasing and shifting North East in the afternoon about 10mph Barometric pressure 29.97 rising slightly during the day Water clarity extremely stained Tidal Coefficient was 75 (high), low tide was at 1:22am, high tide was at 4:14pm. Air temperature 75 in the morning rising to 90 by noon Water temperature 83 Moon phase waning crescent 10% illumination Weather sites used https://tides4fishing.com/us/texas/nueces-bay-tcoon https://www.timeanddate.com/weather/usa/corpus-christi/historic https://www.almanac.com/astronomy/moon/calendar See ya'll on the water! Yakmon




Next »


Popular Tags

#Golden State Warriors  #Stephen Curry  #Paul George  #Shaquille O'Neal  #Philadelphia 76ers  #Boston Celtics  #Luis Suarez  #Kobe Bryant  #Best Ball Controls  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#b_ryan9  #LilTunechi  #UKCoachCalipari  #cnnbrk  #katyperry  #DeAndre  #DwyaneWade  #JasonDufner  #BizNasty2point0  #selenagomez  #LAKings  #HEELZiggler  #DjokerNole  #TimTebow  #oldhossradbourn