π¨ ππππππππ ππππ :ποΈ R I P JAYDEN ADAMS ( 25 ) π’Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. π£οΈπ Ripoti zinasema Jayden Adams aliingia bafuni Kwake, akafunga mlango na kujinyonga. SAUTI @farhankiham KAMFOLOW INSTAGRAM
KUTOKA MBEYA GODY YANGA AVUJISHA SAUTI ZA UGOMVI NDANI YA SIMBA,HAWATAKI KUCHEZA DERBY,YANGA SHANGWE
Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu. #binatv #DIAMOND PLATNUM #ALIKIBA #HARMONIZE @MANARA #MILLARD AYO #SIMULIZE NA SAUTI #MBENGOTV #BONGO TOUCH #PTV TANZANIA @NANDY #ZUCHU #MBOSSO #ZUCHU NA DIAMOND #RICK MEDIA #TREND VIDEO #BONGO 5 #BONGO 24 #S500 #SHOW YA DIAMOND #SHOW YA HARMONIZE #SHOW YA MBOSSO #SHOW YA ZUCHU #MANARA TV #BABA LEVO #MWIJAKU #DOTTO MAGARI #H BABA #EFM #CLOUDTV #UMBEA WA MJINI #BONGO TRENG #WEMA SEPETU #MAJABU YA DIAMOND #WASAFI #MBINGO TV #MIDDSIMBA #UDAKU
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like... KUMRADHI Kuna tatizo la kiufundi la kukata sauti katika sekunde chache tu za kuanzia: 00:1:45 hadi 00:1:55. Hivyo unaweza kuruka kipande hicho kifupi sana. Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
Mtangazaji Mwandamizi wa soka nchini, Baraka Adson Lamsi Mpenja, maarufu Mwamba wa Umalila, Fahari ya Itete, Sauti ya Radi, amekutana na kufanya Mazungumzo maalumu na Watangazaji vinara wa kandanda kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo. Wamezichambua mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Machi 29, Simba vs Al Ahly na Machi 30, Yanga vs Mamelodi Sundowns.
Habari zinaeleza kuwa Uongozi wa Simba SC umefanya uchunguzi na kuona kuna kikundi cha mastaa watatu ambapo kama wakikimaliza, basi makocha na timu nzima itafanya kazi kwa sauti na kwa nguvu moja kama ilivyo kauli mbiu yao. Mastaa hao ambao wanaipasua kichwa Simba SC ni Clatous Chama ambaye kwa sasa yupo nje ya kikosi baada ya kusimamishwa akidaiwa kukwaruzana na mmoja wa makocha wa timu hiyo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? β«οΈ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 β«οΈ Email: dar24newsroom@gmail.com β«οΈ Website: www.dar24.com β«οΈ Instagram: @Dar24news β«οΈ Facebook: @dar24 β«οΈ Twitter: @Dar24News #chama #miquissone #simbasc
Fabrice Ngoma ni kiungo mkabaji Raia wa DRC mwenye umri wa miaka (29) Nyota huyu inasemekana amemalizana na simba na muda wowote atatambulishwa kunako klabu hiyo. Simba pro tumekuletea mambo matano ya kutafahamu kupitia nyota huyu Ndugu wana simba naomba kuchukua fursa hii kuwaomba mchangie pesa kwaajili ya ununuzi wa vifaa kwaajili ya media yetu hii pendwa nawaomba mchangie gharama za kupata Camera na Vifaa vya sauti ili tuweze kuwafikia mashabiki watoe maoni yao Gharama za vifaa ni 3,000,000 Namba ya malipo ni 0626629644 tutafute kwa namba hio pia kwa biashara πππ