Tazama matukio yote yaliyojiri mchezo wa nusu fainali ya mapinduzi Cup kati ya Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC. Simba imetinga fainali kwa kupata penati 3-2 Waliopiga penati ni Medie Kagere, Hamad Waziri, Duke Abuya, Gadiel Michael na Deus Kaseke kwa upande wa Singida FG. Shomari Kapombe, Luis Miquissone, Saidi Ntibazonkiza, , Israel Mwenda na Moses Phiri kwa upande wa Simba SC.
Tazama ushujaa wa golikipa wa Simba SC, Ally Salim akidaka penati tatu. Adaka penati ya Khalid Aucho, Pacome na Yao. Diarra adaka penati ya Saidi Ntibazonkiza
Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida Big Stars. Simba imetinga fainali kwa penati 4-2 na mkwaju wa ushindi umepigwa na Moses Phiri huku golikipa wa Simba Ally Salim akiokoa penati moja.
simb #golilaorlandopiraties #penatizasimba.