FADLU AFICHUA DOZI ZITO ALIYOWAANDALIA RS BERKANE KESHO, KAPOMBE AWASHA MOTO MKALI UBINGWA WA CAFCC
FADLU AFICHUA DOZI ZITO ALIYOWAANDALIA RS BERKANE KESHO, KAPOMBE AWASHA MOTO MKALI UBINGWA WA CAFCC

Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kikosi chake kiko tayari kwa mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco huku akisisitiza kuwa wachezaji wake wameshajifunza kupitia maumivu ya dakika 20 za kwanza kule Morocco. Akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar, Fadlu amesema: “Ndiyo, tulikuwa tumejiandaa kikamilifu kwa mechi ya kwanza. Tulikuwa tumepanga kila kitu kiufundi na kimkakati, lakini jambo kubwa zaidi lilikuwa kuwapa wachezaji uzoefu wa dakika zile 20 za mwanzo kwa sababu unaweza kuwa na mpango mzuri lakini hali halisi ya uwanja na mazingira ya fainali huwezi kuifundisha darasani. Lazima waishi nayo, wapitie, na wakue kupitia hilo.” Katika mechi wa kwanza iliyochezwa Morocco, Simba ilikubali kichapo cha mabao 2-0. Hata hivyo, Fadlu anaamini kuwa kikosi chake sasa kiko tayari kwa pambano la marudiano, licha ya mchezo huo kuhamishiwa Zanzibar badala ya uwanja wao wa nyumbani wa Benjamin Mkapa. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



ALLY MAYAY APENDEKEZA SULUHU KALI KUMALIZA SAKATA LA DABI YA KARIAKOO
ALLY MAYAY APENDEKEZA SULUHU KALI KUMALIZA SAKATA LA DABI YA KARIAKOO

Gwiji wa zamani wa Yanga, Taifa Stars na mchambuzi wa soka nchini, Ally Mayay Tembele, amesema alitarajia sakata la kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo iliyopangwa kuchezwa Machi 8, 2025, lingetatuliwa mapema kutokana na majukumu ya kimataifa yanayolikabili taifa. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



BEKI JKT TANZANIA AUKUBALI MZIKI WA MPANZU, ATAJA KUMHOFIA KIBU KABLA YA MECHI
BEKI JKT TANZANIA AUKUBALI MZIKI WA MPANZU, ATAJA KUMHOFIA KIBU KABLA YA MECHI

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.



TSHABALALA: Wachezaji wa AL MASRY walituambia sisi ni timu ya kucheza CAFCL
TSHABALALA: Wachezaji wa AL MASRY walituambia sisi ni timu ya kucheza CAFCL

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



TSHABALALA AFICHUA WALIVYOIANDAA DOZI YA KULIPA KISASI KWA AL MASRY, AELEZA MIKAKATI YA NUSU FAINALI
TSHABALALA AFICHUA WALIVYOIANDAA DOZI YA KULIPA KISASI KWA AL MASRY, AELEZA MIKAKATI YA NUSU FAINALI

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



HUU HAPA UWANJA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS KUZINDULIWA LEO.
HUU HAPA UWANJA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS KUZINDULIWA LEO.

Jumatatu, Machi 24, 2025, ni siku ya kihistoria kwa wapenda soka wa Mkoa wa Singida na taifa kwa ujumla, kwani klabu ya Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wake mpya. Uzinduzi huu ni hatua kubwa kwa klabu hiyo, ambayo imeendelea kuwekeza katika miundombinu ya michezo ili kuinua kiwango cha soka nchini. Uwanja huo uliopo Mtipa mkoani Singida, umejengwa kwa viwango vya kisasa ukiwa na nyasi bandia kwa kushirikiana na wadhamini wakuu wakiwamo Airtel, Azam, GSM, NBC, SBS, na MO Dewji. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000 hadi 7,000 na unatarajiwa kuwa kitovu cha mashindano makubwa ya kitaifa na kimataifa. Sherehe za uzinduzi zinatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na michezo, huku mgeni rasmi akiwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA. Aidha, viongozi wa TFF nao wanatarajiwa kushiriki. Burudani mbalimbali zimetayarishwa kabla ya mechi kuu, ikiwa ni pamoja na muziki kutoka kwa wasanii maarufu wa Bongo Fleva, michezo ya asili, na maonesho ya utamaduni wa Kisingida. Mashabiki watapata fursa ya kushuhudia historia ikiandikwa kwa mara ya kwanza kwenye uwanja huu mpya. Kilele cha tukio hili kitakuwa ni mchezo wa kirafiki kati ya wenyeji Singida Black Stars na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC utakaochezwa kuanzia saa 10 jioni. Mechi hii inatajwa kuwa ya kuvutia kutokana na nafasi za timu hizi katika msimamo wa ligi, ambapo Yanga wanaongoza kwa pointi 58 huku Singida Black Stars wakiwa nafasi ya nne na pointi 44. Licha ya kuwa mechi ya kirafiki, upinzani baina ya timu hizi mbili umeibua hamasa kubwa kwa mashabiki. Singida Black Stars wanataka kutumia uwanja wao mpya kuonyesha ubabe wao, huku Yanga wakitaka kuendeleza rekodi yao nzuri dhidi ya wapinzani wao.



UCHAMBUZI CLOUDS FM; SIMBA WAPO SAHIHI KUGOMEA MECHI YA DERBY DHIDI YA YANGA
UCHAMBUZI CLOUDS FM; SIMBA WAPO SAHIHI KUGOMEA MECHI YA DERBY DHIDI YA YANGA

#simba #usajili #uchambuzi UCHAMBUZI CLOUDS FM; SIMBA WAPO SAHIHI KUGOMEA MECHI YA DERBY DHIDI YA YANGA Simba wapo sahihi Kugomea mechi Mechi ya Derby Dhidi ya yanga Simba vs yanga Yanga vs simba Mechi ya Derby Derby Uchambuzi Uchambuzi mechi za leo Uchambuzi wasafi fm Uchambuzi CLOUDS Uchambuzi efm Uchambuzi crown fm Uchambuzi leo Uchambuzi goli la simba Uchambuzi goli la yanga Uchambuzi wa simba leo Simba sc Simba sc tanzania Simba leo Simba tanzania Simba leo Simba usajili Simba vs yanga Simba uchambuzi Yanga uchambuzi Yanga saizi noma Yanga vs simba Yanga vs simba leo Kikosi Kikosi cha simba Kikosi cha yanga Kikosi cha simba leo Kikosi cha simba vs yanga Kikosi cha yanga vs simba Kikosi cha simba mechi ya leo Kikosi cha yanga mechi ya leo Yanga day Kikosi kipya Kikosi kipya simba Kikosi kipya yanga Kikosi kipya simba 2024 Kikosi kipya yanga 2024 2024 Mechi Mechi ya leo Uchambuzi mechi ya leo Mechi ya simba Mechi ya simba leo Mechi ya yanga Mechi ya yanga leo Mchezaji Mchezaji bora Usajili bora Jean Ahoua Ahoua Usajili simba 2024 na 2025 Usajili yanga 2024 na 2025 Tetesi za usajili simba Usajili wa simba 2024 na 2025 Simba leo Usajili simba Usajili wa simba Usajili simba 2023 na 2024 Tetesi za usajili simba dirisha kubwa 2024 Simba usajili 2024 Usajili wa yanga 2024 na 2025 Usajili yanga Tetesi za usajili yanga leo Yanga leo Usajili mpya simba Magazeti ya leo Kocha mpya simba Usajili mpya wa simba 2024 na 2025 Usajili mpya yanga Usajili wa yanga Usajili Michezo leo Simba usajili 2024 Usajili mpya wa simba 2024 na 2024 Usajili mpya yanga Usajili wa yanga Usajili Michezo leo Simba usajili Usajili yanga 2023 and 2024 Simba app Tetesi za usajili Yanga Mwanaspoti ya leo Tetesi za usajili simba leo Tetesi za usajili yanga Usajili wa simba 2023 na 2024 Sajili mpya za simba Magazeti ya michezo leo



MWANZO MWISHO SIMBA WALIVYOZUIWA KUINGIA KWA MKAPA USIKU HUU WAKIIVAA YANGA KESHO, DAH KILICHOTOKEA!
MWANZO MWISHO SIMBA WALIVYOZUIWA KUINGIA KWA MKAPA USIKU HUU WAKIIVAA YANGA KESHO, DAH KILICHOTOKEA!

Kumezuka vurugu Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya msafara wa klabu ya Simba kuzuiwa kuingia uwanjani hapo kufanya mazoezi ya mwisho leo Machi 7, 2025 kuelekea Dabi ya Kariakoo kesho na wale wanaodaiwa ni makomandoo wa Yanga . #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj




« Previous Next »


Popular Tags

#Neymar  #Cristiano Ronaldo  #Football Skills  #Kobe Bryant  #Paul George  #Gareth Bale  #Best Football Defending Skills  #Best Goals  #Mesut Ozil  #Lionel Messi  

Popular Users

#si_vault  #serenawilliams  #LilTunechi  #MikePereira  #RealSkipBayless  #DjokerNole  #HEELZiggler  #tigerwoods  #KylieJenner  #kevinlove  #DanicaPatrick  #themichaelowen  #BMcCarthy32  #mcuban  #MariaSharapova